Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,003
- 31,796
Mbona umepaniki mkuuMan city hamna kitu, miaka mitatu na uwekezaji wote huo mnakuwa wa kusuasua tuu na kuishia Robo fainali, Guardiola ni looser sana, mbwembwe nyingi lakn mwisho wa siku unalamba mchanga, gori tatu unapigwa home hii inaonyesha timu haijabalance.. amebase kweny Attacking mmiddfld na striker , na kujisahau kwenye Defending mdf na defender, ndo mana walikuwa wanakatika sana na kuwapa tottnham nafas ya kustrike freely...
Nafkri utashangaa sana utakavyoona City analoose na Epl, labda kombe la mbuzi FA ndo atapata.....tengeneza timu ya kuchukua vikombe na sio entertainment
Naona unaelekea kufikia kiwango cha Mchambuzi wa Kimataifa kama kama Dokta RickyTuseme Inshaalah mkuu maana mpira huwa una matokeo ya kustaajabisha wakati mwingine...
Kumbuka hii
View attachment 1074681
Io hulka yake.
Ila pia uwezo wa waliokuwepo
Muulize wametumia shngap wao mpak aiseme city.Mbona umepaniki mkuu
Uwekezaji wa city ni wa kawaida sana hana mchezaji wa garama kama ilivyo kwa man u
PSG
Madrid
City ni timu ninayo jengwa bado na inahitaji kuendelea kujengwa maana INA vijana ila wamekosa kiu ya kombe la uefa watakapo pata kiu watapambana kama walivyo pambana kuipa EPL
Unajua washabiki wengi huwa hawajui mpira ila wanajua kushangilia matokeoMuulize wametumia shngap wao mpak aiseme city.
Ww man u umewekeza shingap?Unajua washabiki wengi huwa hawajui mpira ila wanajua kushangilia matokeo
City ilikutana na timu gani hadi mlipotolewa jana tangu mkiwa kwenye hatua za makundi[emoji848]Ajax kiukwel hajakutana na timu yenye ushindan.
Kwa uingeleza man u inaongoza kwa kuwekeza ila haina hata kombe la ligi karibu miaka naneWw man u umewekeza shingap?
Anzia wakati wa morinho tu.
Na bado unatarajia kusahili
Sasa je.Kwa uingeleza man u inaongoza kwa kuwekeza ila haina hata kombe la ligi karibu miaka nane
Tatizo la man u ni tatizo la ChelseaSasa je.
Tofauti ni uwekezaji wa faida na usio na faida tu.
Nasubiri kuona usajili wa sosha ambae nae atafukuzwa
[emoji2] [emoji2] ni kweliTatizo la man u ni tatizo la Chelsea
Utofauti wao ni kuwa mchezaji na kocha
Mkubwa mchezaji
Azard kafukuza makocha wawili[emoji2] [emoji2] ni kweli
Tabu tupu.
Ni kama mwanafunzi anapotetewa mara nyingi anajawa na sifa.
Na wakat kama huu kupata kocha wa viwango nao ni mtihan
Jidanganye.Huyu Pep no fraud tu!
Barca walichukua UCL sababu ta uhodari wa akina Xavi wala sio yy!
Sasa mwaka huu anachukua Carabao tu kisha bye bye!
EPL hata Pelegrino au Mancin alichukua!
Asante sana mkuuUmechambua vzr sana Chifu
Jidanganye.
Maana kwa sasa tupo free kupambana kwa ajili ya epl.
Tulikuwa na ratiba ngumu sana sasa sikilizia shoo
Mbona imerudiwa na inaonyesha hakushika mpira kabisa. Labda utuambie sababu nyingine
Tumechukua mara tano akiwepo.EPL Liverpool kaisha libeba!
Jumamosi mtakuja kwa mahasira na watapata kadi nyekundu mapema tu na Son atawaua!Mmeisha changanyikiwa sababu mlijidanganya kama kikosi hicho kitawapa quadruple!
Yaani uchukua quadruple na beki Otamendi?Pep apunguze masihara