Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Huchoki tu na ramli zakoNyie mataka taka mmeona dozi aliyotoa Arsenal kwa spurs .... sasa spurs wanakuja kumalizia maumivu yao kwenu 115 ffp farmers
once again kwenye dimba lao spurs nyinyi VARnchester City amuwezi toka
History its going to repeat
Glory hunter wa Madrid tulia 😀Nyie mataka taka mmeona dozi aliyotoa Arsenal kwa spurs .... sasa spurs wanakuja kumalizia maumivu yao kwenu 115 ffp farmers
once again kwenye dimba lao spurs nyinyi VARnchester City amuwezi toka
History its going to repeat
City inakusanya point 3 muhimu leo.Hawa vijana wa mistuni (N.forest) wakiwakoseni leo sijui
Mmezidiwa kila kitu hadi shots on target
Yani ninyi mtatuambia huo uhasama na Madrid mliuanzaga liniHuchoki tu na ramli zako
Na atashinada mechi zoteeeeCity inakusanya point 3 muhimu leo.
Tukija ground, ukiwaacha Arsenal na Liver kwa mbaaaaali, hakuna anayewa support mkose ubingwa. Kwa nini? Coz ubingwa ni kama abdala kumuita dula. Pia, sababu nyingine ni ile ile msiyoipenda, no fans ukiachana na hapo Manchester. So hakutokuwa na kelele.When man city is at the top ,...other pl club[emoji23]View attachment 2975861
Huko Kijiji kwenu ndio Hakuna fans ....Tukija ground, ukiwaacha Arsenal na Liver kwa mbaaaaali, hakuna anayewa support mkose ubingwa. Kwa nini? Coz ubingwa ni kama abdala kumuita dula. Pia, sababu nyingine ni ile ile msiyoipenda, no fans ukiachana na hapo Manchester. So hakutokuwa na kelele.
Wewe na ramli zako Mzee [emoji23][emoji23][emoji23]sijui Ni shabiki WA ArsenalNa mwakani tunampeta Mbappe nyie kazi mnayo