Haaland, kdb, hawa watu wameanza kucheza interchangeably.Jana gap la ake halikuonekana ,...
Walker alikuwa anamdhibiti Sana zinchenko Hadi huruma ...
Saka Jana hakuonekana ,akanji alifanya majukumu yake ...
ifike muda watu waache kulinganishwa yule "small boy ordegard " na the best midifilder in the world kdb ...
Combination ya kdb na halaand ni fire ...
Naona kama vile halaand anajifunza kuwa play marker ,....Lile goli la kwanza la kdb ni kama goli tulilowafunga buyern ....
Team yetu Kwa Sasa ina " monster mentality" kiufupi Sion timu ikikatiza bila kupigwa ...
Jana ilikuwa " men against boys " arsenal walionekana kama watoto wadogo mnoo ...
Tuko na game 2 ,ambazo tukipata point 3 zote basi tunamuacha arsenal Kwa point 4 ...
Arsenal akizid kuteleza basi tunaenda kutangaza ubingwa mapema mnoo ...
Haaland jana alikuwa hajafocus kwenye kulishwa pekee, alikua involved kwenye kutengeneza space kwa wengine.Haaland alikuwa anafanya ambacho huwa anakifanya Harry Kane.
Jana kdb alikua ana movement nyingi sana kwenye box,najiuliza mechi zingne sa kwanin huwa hafanyi the same?Haaland, kdb, hawa watu wameanza kucheza interchangeably.
Approach zinatofautiana kati ya game na game.Jana kdb alikua ana movement nyingi sana kwenye box,najiuliza mechi zingne sa kwanin huwa hafanyi the same?
Toka aje man city, defensive structure aliyokuja nayo sasahivi ndio the best.DIAS,AKANJI,WALKER,AKE,STONES.
Dah laporte inabidi aachiwe aende tu, maana hivi vyuma hapa vimemaliza kila kitu
Game ya everton hapo imekaa kimtego sana.Mechi zilizosalia ni hizi.
Fulham (Away)
West ham (Home)
Leeds (Home)
Everton (Away)
Chelsea (Home)
Brighton (Away)
Brentford (Away)
Na wapo chini huko, ndio maana nilikuwa nasema kushinda game ya arsenal ilikua muhimu sana maana hata ikitokea tumedraw hapo mbele bado tunakua na nafasi ya kuwin kombe.Game ya everton hapo imekaa kimtego sana.
Ipo katikati ya game 2 against real madrid na ni away, very very tricky.
Inataka kuwa kama liverpool walivyokua wanachomoa watu pale southampton.Manu Akanji, mtu na nusu huyu bwana, BVB lishakua chimbo letu hawajawahi kutuangusha, vile tuliwabeba akanji, haaland, gundogan the same tunatia nanga kwa bellingham.
Sheikh mansoor afanye kuiongeza bvb kwenye city group, wanatupa vyuma sana hawa.
Wapo relegation zone wanapambana kutoka, lakini sasa nasisi tunataka kombe, uzuri ni kwamba tunahitaji kushinda mechi 6 kati ya 7 zilizobaki ili kutetea ubingwa wetu, kuna game moja hapo ya kuassume "mpira unadunda".Game ya everton hapo imekaa kimtego sana.
Ipo katikati ya game 2 against real madrid na ni away, very very tricky.