Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,365
- 21,747
Wakati foden anaikiwasha CL mwaka Jana nan alitegemea atakuja kucheza dakika chache season hii ...Kwa uwepo wa rodri na kwa hatua tuliyopo sasa hivi, ni ngumu sana kalvin kucheza.
Alikua na nafasi ya kupata dakika mwanzoni mwa msimu lakini akawa na majeruhi bandika bandua.
Akaja kuanzishwa mechi ya soton carabao akashindwa kudeliver.
Kwa hatua hizi za mwishoni, pep kashasema "there is no time for rotation"
Etihad siku hizi ni pahala patakatifu,hakuna mtu kuchukua point.Tunazihitaji point 3 kuliko wanavyozihitaji wao, hakuna cha new coach bounce wala nini though hawatokua wepesi kivile ila pale etihad kila goti litapigwa.
Leo ni zamu ya leicester, akitoa game tough sana basi 2:0.
Kalvin anaweza kuuzwa.Wakati foden anaikiwasha CL mwaka Jana nan alitegemea atakuja kucheza dakika chache season hii ...
Mahrez our champion league hero magoli yake yalikuwa yanatupeleka final ,Leo muda umekuwa mchache ,saizi tunaona kikosi kingine kabisa kama grealish ,ndio wanatupeleka CL semi final ...
So next season you never know rodri ataanza vipi ,kama grealish ambavo hakutegema angeweza kufit kwenye mfumo kina foden na Mahrez wakiwepo ...ndivo hivo hivo kalvin Phillips atacheda vzuri rodri akiwepo ..
Nadhani Leo anaweza kufanya badiliko moja tu kwenye kikosi kilichocheza na Bayern.Na Leo pep aweke full mkoko tu hakuna namna
Newcastle wajinga wanaweza kuteleza dakika za mwisho man u na spurs wakamtoa.Newcastle nae kapelekewa moto na Villa.
Mahrez anaweza kuanza Leo.Nadhani Leo anaweza kufanya badiliko moja tu kwenye kikosi kilichocheza na Bayern.
Pep "if we will lose to Leicester, we won't win the title"
Pep kufanya rotation labda mpaka game ya Sheffield maana baada ya hapo tuna arsenal machinjioni.Na Leo pep aweke full mkoko tu hakuna namna.
Asee mitoma ni winga mmoja hatari sana, mpira wa Brighton unavutia kutizama.Brighton wanakiwasha sana, Chelsea mpaka sasa hivi kepa ndio kawabakisha mchezoni.
Nop bro, gap ni point 6, tukishinda zitabaki 3.Leo nafurahi Arsenal anashuka rasmi na hatarudi tenaaaa.
Acha uchawi kila mtu ashinde mechi zakeLeo nafurahi Arsenal anashuka rasmi na hatarudi tenaaaa.