ndo tunayowaza vijana wa kitanzania wakati hata VITZ hatuna full ndoto. Acheni upuu.zi fanyen kazi kwa bidii
Sasa hivi mjini naziona Juke na Qashqai ndio habare nyeti..........
Jamaa wanatisha aisee hii kitu adimu mno kwa road
Sizan kama unaelewa maana ya SUV
Pole sana kama we ni kijana na umri huu hata Vitz huna... na sidhani kama unastahili kuwa hapa saa hizi aisee bora ukanunue gazeti ujipepee wakat unatafakari wapi utokee
It is not a sin to have a big dream. Kama huna dream unafanya kazi bila malengo:becky:ndo tunayowaza vijana wa kitanzania wakati hata VITZ hatuna full ndoto. Acheni upuu.zi fanyen kazi kwa bidii
Sijamuuliza bei! Ila brand new price itakuwa wazi online! Sikufikiria hata kujua bei maanake kama ligi ni bundesliga halafu mi bado nacheza mchangani!
atakuwa ana undungu na chenge huyo
Sizan kama unaelewa maana ya SUV
Sasa hivi mjini naziona Juke na Qashqai ndio habare nyeti..........
nimetumia zamani sana aina hiyo hapa bongo
mbona..toyota..ist..hujaiweka.
nimetumia zamani sana aina hiyo hapa bongo
Hivi IST iko kwenye kundi la Sports Utility Vehicles?
IST haiko kwenye kundi la SUV,
A sport utility vehicle or suburban utility vehicle (SUV) is a vehicle similar to a station wagon or estate car, usually equipped with four-wheel drive for on- or off-road ability. Some SUVs include the towing capacity of a pickup truck with the passenger-carrying space of a minivan or large sedan.
Pia angalia maana yake
a "sport utility vehicle" is "a rugged automotive vehicle similar to a station wagon but built on a light-truck chassis".
The "SUV" term is defined as "a large vehicle that is designed to be used on rough surfaces but that is often used on city roads or highways.
"The "SUV" acronym "is still used to describe nearly anything with available all-wheel drive and raised ground clearance.
Sizan kama unaelewa maana ya SUV