fakalava JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 4,459 Reaction score 6,033 May 13, 2016 Thread starter #21 MERCIFUL said: Unamaanisha bado uko kwenye mahusiano na huyo anayekupa maumivu??? Click to expand... Kuna sababu ambazo zinaweza kukufanya kumvumilia mtu ikiwa ni pamoja na kuwa na matumaini kwamba atabadilika. Lakini kama unaona atakusabaishia matatizo mbeleni au tayari amekusababishia, inakubidi uchukue taadhari.
MERCIFUL said: Unamaanisha bado uko kwenye mahusiano na huyo anayekupa maumivu??? Click to expand... Kuna sababu ambazo zinaweza kukufanya kumvumilia mtu ikiwa ni pamoja na kuwa na matumaini kwamba atabadilika. Lakini kama unaona atakusabaishia matatizo mbeleni au tayari amekusababishia, inakubidi uchukue taadhari.
MERCIFUL JF-Expert Member Joined Oct 17, 2011 Posts 2,786 Reaction score 3,128 May 13, 2016 #22 LadyRed said: Ndio,I have my reasons Click to expand... Aiseee! Pole Sana Mpendwa...
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,511 May 13, 2016 #23 MERCIFUL said: Aiseee! Pole Sana Mpendwa... Click to expand... Ahsante mami
La Pronto JF-Expert Member Joined Mar 20, 2013 Posts 975 Reaction score 1,166 May 13, 2016 #24 Dah... Nlikua nmesahau kwamba lugha rasmi ya mapenzi ni kiingereza!
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,381 Reaction score 6,891 May 13, 2016 #25 LadyRed said: Ndio,I have my reasons Click to expand... Pesa zake..
LadyRed JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 9,636 Reaction score 11,511 May 14, 2016 #26 BRN said: Pesa zake.. Click to expand... Wewe wasema
BRN JF-Expert Member Joined Nov 18, 2013 Posts 5,381 Reaction score 6,891 May 14, 2016 #27 LadyRed said: Wewe wasema Click to expand... ...yuko vizuri kitandani
hibiscus interior JF-Expert Member Joined Jan 13, 2016 Posts 1,168 Reaction score 596 May 14, 2016 #28 the first time i saw ur face my heartbeat beating at randomly speed.