Umewaza nini?
Keshagalagaza salare ya april pasaka, na mwezi umegoma kuisha!
Hahahaaaaa, ndo katafuta vya kufananishia.
Keshagalagaza salare ya april pasaka, na mwezi umegoma kuisha!
Mwezi wenye siku 45 acha kabisa. Afu waajiri majinuni wanakupa salare tarehe 17 kabisaaa. Saa hizi mpoleeee! Hehehehe, hekima za wahenga lazma azikumbuke zote
Pole.umejuaje? Na leo ni muungano hamna pesa hata ya kwenda out
Pole.
Pumzika tu nyumbani uangalie TBC na kusoma magazeti.
duh! Uchovu wa wiki nzima niupeleke kwenye assignment ya kusoma tena magazeti!