Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,419
- Thread starter
-
- #21
Tena huo msosi anakuja kulia chumbani kwako, in worst case scenario anakuomba haswa, "can I visit you today"?Labda wa enzi za mwalimu. Msosi atakula lakini mzigo kukupa mmh...
Okee sawa. Maisha magumu nowdays.Trust me it was wadada, wanaojielewa, mnaodhani ni wasomi! na naamini mpaka sasa wapo hata hapa mjini
Ha haaa hayaaTena huo msosi anakuja kulia chumbani kwako, in worst case scenario anakuomba haswa, "can I visit you today"?
Read careful and utapata picha!Ha haaa hayaa
Mi nimeona ni ujumbe kwa watoto. Hopefully wameupataRead careful and utapata picha!
This is literature! Diamonds na hawajijui kwamba ni diamondsHayo ni magwangala aisee na sio diamonds! Bajeti chini ya buku mbili hata chuma hupati ... ndo sembuse diamonds!???
Sawa, ndio fasihi ilivyo kila mtu anaelewa kivyakeMi nimeona ni ujumbe kwa watoto. Hopefully wameupata
Mbona unawahi kupanic bro, jiwe gizani eeeh....Sawa tumekuona na wewe umepost! "You don't need to post if you don't have to post"
How can you just jump into conclusion? Nimekustahi I won't add a word.......
Mkuu kipindi hiyo na huko nlipokuwepo ilikuwa tunanunua chips 1200 tu na soda zilikuwa jero
That will never happen mkuu
Tena huo msosi anakuja kulia chumbani kwako, in worst case scenario anakuomba haswa, "can I visit you today"?
Hayo ni magwangala aisee na sio diamonds! Bajeti chini ya buku mbili hata chuma hupati ... ndo sembuse diamonds!???
Hahahaha....hakika mkuu!Haaaaaa haaaaaa ni makinikia yenye tope la changalawe.
Kupanic??? go through my posts mkuu! tofautisha kuchambua na ku-attack,Mbona unawahi kupanic bro, jiwe gizani eeeh....
ukiweka mada mezani sharti ichambuliwe sasa wewe una panic si ungekaa kimya.... lol
Usiforce tufanane.
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.