Majukumu ya mtoto wa Kiume (Mwanaume) kwenye dunia ya leo:
Kuhakikisha kazi, familia, uchumi, na malengo binafsi yanapewa muda sahihi bila kuharibu lengo mojawapo. Wakati mwingine matarajio yetu hayatimi , lakini huwa tunaendelea kujifunza kadiri siku zinavyoenda.
Je ni changamoto gani kubwa unayoikabili hivi sasa?
Being a man in this modern world means balancing career, family, finances, and personal goals. Sometimes our expectations face darkness, but we're all figuring it out as we go.
What’s the biggest challenge you’re facing at the moment?