The Bottom line ya sanaa ya kutongoza


Rule Of Thumb (just do it)

Unapoona dada kajitokeza tuu ghafla karibu
yako huku akijidai kama yuko bize na shughuli
zake (mfano kucheza mziki) ujue kwamba mambo
poa. Wewe kazi yako ni kumtokea sasa akikataa
au akikubali hiyo si juu yako.

Kwahiyo ndugu yangu siku nyingine usiogope
kukataliwa, usiweke umuhimu wowote katika hilo
tukio (kutongoza) kwasababu hata kama
akikukataa huwezi kudhalilika kwasababu bado
hamfahamiani. Chukulia kama ni kitendo cha
kishujaa na amini nakuambia utajisikia raha
kutoa dukuduku lako na utazidi kujiamini.

Next time just give it a shot, you never know.
 
Dah Miss Judith kwa mauzoefu hayo yote halafu unasemaga wewe ni bikira!, yaani nipo hoi.
 
Hehehhe! Kumbe na mimi nilishawai kutongozwa mara nyingi...sema ndio nimejua..mademu kumbe nomaa...hehehhehe!!
 
Miss judi umenipa ujacri sana dada yangu,me huwa muoga sana wa wanawake na ninawahitaji sana mara nyingi huwa naishia kubaki na maumivu ya moyo pndi ninaposhindwa kabsa kumkabili mwanamke,so nakuomba uendelee kutujuza hiyo sanaa,merci
 
Siku izi hamnaga kutongoza. Unamwambia aje getho na kila kitu kinaisha bila hata kumtamkia neno nakupenda.
 
Asante kwa kutupa uzoefu wako wa kutongoza/zwa. Nikipata tenda tutawasiliana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…