Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
- Thread starter
- #41
Yeah. Jamaa anang'ata kiaina. Mi nashauri Don akabiziwe udokta wa falsafa kabisa hapahapa Jf.
Hahahahahahah
Yeah. Jamaa anang'ata kiaina. Mi nashauri Don akabiziwe udokta wa falsafa kabisa hapahapa Jf.
Don toa ngoma Kali , Don ft krs one au ft Lupe fiasco
Don toa ngoma Kali , Don ft krs one au ft Lupe fiasco
Don toa ngoma Kali , Don ft krs one au ft Lupe fiasco
Huko kwa wasukuma, ukipiga hatua moja tu ya maendeleo, lazima wakufanyizie..huenda ndicho kilichomkuta huyu jamaa...Masikini kisandu sijui alikutwa na nini wkt alikua kijana smart tu
Refer Dr. Shika!Huko kwa wasukuma, ukipiga hatua moja tu ya maendeleo, lazima wakufanyizie..huenda ndicho kilichomkuta huyu jamaa...