Ongezea tarakimu apa watu tuneemeke...DJ vituuuuuuuzzzz
Hapanaa ......mkuuKiongozi samahani....
Hivi wewe ndiye uliyewahi kuwa Figanniga?
Hivi Bujibuji hivi vipicha huwa mnavitoa wapi?na mnashughulika navyo vya kazi gani?DJ vituuuuuuuzzzz
Hivi Bujibuji hivi vipicha huwa mnavitoa wapi?na mnashughulika navyo vya kazi gani?
Vya kuwaumizeni mioyo tu, tunazipataga tukienda kusimamia mitihani ya sekondariHivi Bujibuji hivi vipicha huwa mnavitoa wapi?na mnashughulika navyo vya kazi gani?
Unamaanisha nini? Mwenye picha ni yup? Unawajua vyema wanawake au unaongea tu?Akili zao ni 'bujibuji'! Hawajui sheria ya mitandao au mwenye picha anaweza kuwachukulia hatua akiziona. Mods kuweni makini kubandika picha za watu.
Idiot at your good status
Ongezea tarakimu apa watu tuneemeke...
Asante bujibuji kwa kunipunguzia hasiraDJ vituuuuuuuzzzz
Sawasawa kada wa Lumumba
nimerudi Cocochanel aseeNakumisi pia namba mbili wewe
nimerudi Cocochanel asee
Mimi pia aisee niliwamiss watu wengi humu jukwaani...wewe ukiwemo[emoji56] [emoji56]Karibu karibu karibu
Sifikiri kama kuna mdau amewahi kumisiwa humu kama ulivyomisiwa wewe na wengi.