Dah! Kuna mwanangu miaka 5 akiwa ndani ya nyumba anaweza kukwambia nje barababi kuna nini au nani anakuja home.
Sometimes ukienda nae sehemu anakwambia 'Dad it is not safe to be here lets go!' ukiondoka hapo baada ya nusu saa kinatokea kitu ambacho huwezi amini
Juzi amemwangalia mama yake usoni akamwambia ''mama kuna kitu kinakusumbua moyoni macho yako yanaonyesha!!"
IQ yake iko juu sana, ana miaka 5 lakini anaweza kuongea lugha 4 (swahili, kingereza, dutch-lugha ya mama yake na kisukuma - lugha ya baba yake)