Japo umeicopy kama ilivyo lakini nikwambie tu izi haziwezi kufikia kiwango cha self made websites yaani kwanza uelewe baadhi ya feature tu ndo unapata bure mfano templetes za hovyo ndo za bure ila ukitaka templete za maana lazima ulipie kama kawa So izi ni kweli zinawafaa wageni kama mimi ila kwa badae lazima wajifunze ku-upgrade mambo!