Kwa TZ narudia tena wanaoweza kuendesha midaharo wanaweza kuwa ni Jenerali Ulimwengu na Tido Mhando,Prof.Shivji ana munkari anaweza kutia ndimu kwenye supu,kijana Pasco naye kaegemea sana Monduli.Dada Rose Mwakitwange yalimshinda.Kibonde ataleta mipasho ya Ikulu oyeee
mtu yeyote mwenye taaluma ya habari anaweza kuendesha mdahalo maana maswali huwa wanapewa yaani hutungwa na wachumi, lawyers pia social and political scientists! Yaani institutions kama Tanganyka Law Society, LHRC, Media Council of Tanzania and other institutesJE Tz maendeleo kuhusu katiba vipi au inahujumiwa na vikundi vinavyosisitiza kushikilia urithi wa nyerere?
demokrasia inazidi kukua kenya na kwa TZ kabla ya viongozi kutoka hadharani kuzungumzia maswala yanayowagusa kama ufisadi kwa wananchi pengine miujiza itendeke. itakuwa vigumu serikali ilioko ipige mikakati tunasema swift and radical changes.
Wakati huu kikwete anaweza acha urithi atakaokumbukwa nao serikalini kama kugeuza katiba na marekebisho kwenye mahakama. lakini licha ya haya najua kutazuka mapingano makali dhidi ya mabadiliko bungeni na kutoka familia fisadi akiamua kuchukua hii nafasi
mtu yeyote mwenye taaluma ya habari anaweza kuendesha mdahalo maana maswali huwa wanapewa yaani hutungwa na wachumi, lawyers pia social and political scientists! Yaani institutions kama Tanganyka Law Society, LHRC, Media Council of Tanzania and other institutes
hizo ni forum, nasema debate ambazo kila mwananchi anahudhuria na kutazama sio wenye taaluma pekee. nadra tz
mtu yeyote mwenye taaluma ya habari anaweza kuendesha mdahalo maana maswali huwa wanapewa yaani hutungwa na wachumi, lawyers pia social and political scientists! Yaani institutions kama Tanganyka Law Society, LHRC, Media Council of Tanzania and other institutes! je ushamfikiria Taji Liundi au una-assume tu watu hawawezi kufanya yale kama yaliyofanywa kule kuna watu wanatema yai na wako smart and sharp upstairs hata mimi sikifikirii kama nitashindwa kuendesha mdahalo ikiwa naendesha seminars n.k.Kwa TZ narudia tena wanaoweza kuendesha midaharo wanaweza kuwa ni Jenerali Ulimwengu na Tido Mhando,Prof.Shivji ana munkari anaweza kutia ndimu kwenye supu,kijana Pasco naye kaegemea sana Monduli.Dada Rose Mwakitwange yalimshinda.Kibonde ataleta mipasho ya Ikulu oyeee
Dida i quit the goverment because of funny salaries and funny working conditions. I am wondering kwani Dida aliwahi kuajiriwa na GOT?
Angemtaja hata mmoja wa hao waandishi mwenye taaluma ya uandishi wa habari ambae anaweza kuendesha mdahalo hapa Tz.. Sekta ya habari imevamiwa na ndo maana kupata mwenye weledi unaotakiwa ni kazi kubwa..