Unanikumbusha rafiki yangu moja kwenye miaka ya 70s ambaye tuliambatana pamoja katika kila mechi iliyozihusu Simba na Yanga na kukaa pamoja upande wa Simba.Hahaha, mimi nashangilia timu yoyote inayompa upinzani GSWs. Ila mnanishangaza kutumia neno chuki (hating) ilitokea mtu anapo amua kutokuwa upande wenu.
Unanikumbusha rafiki yangu moja kwenye miaka ya 70s ambaye tuliambatana pamoja katika kila mechi iliyozihusu Simba na Yanga na kukaa pamoja upande wa Simba.
Ingawa mimi nilikuwa ni mpenzi mkubwa wa Simba yeye alidai ni mpenzi tu wa soka asiye na upande anayefurahia mchezo na kweli hakuonesha dalili yoyote ya kuguswa na matokeo. Kwa hiyo miaka mitano Simba ilikuwa ikiifunga Yanga.
Mwaka wa sita tuliambatana kama kawaida yetu hadi uwanja wa taifa kushuhudia mechi kati ya timu mbili zilizofuzu kuingia fainali nazo kama kawaida zilikuwa Simba na Yanga. Timu hizi mbili zilipokutana matokeo yalikuwa ama ni 1-0 au 2-1.
Siku hiyo hadi kipenga cha mwisho timu zilikuwa zimefungana 1-1 na iliamuliwa penalti zipigwe kutafuta mshindi na Yanga ikashinda. Huwezi kuamini...jamaa yangu aliruka kama aliyepatwa na kichaa akishangilia kama mwehu.
Hakujali kabisa kuwa tumekaa upande wa Simba waliokuwa kama wamemwagiwa maji baridi huku mimi nikibaki nimepigwa butwaa na kuduwaa nikijiuliza vipi huyu mwenzangu, kapatwa na nini? Alah, kumbe ni Yanga damu damu!
Toka siku hiyo niligundua kuwa hakuna asiye na upande ila wapo wanaoweza kuficha wako upande gani lakini ni swala la muda tu, iko siku matokeo yatawaumbua tu kama mchezo wa jana ulivyokuumbua Don Clericuzio...ha ha haa!
Tangu playoff ya msimu huu ilipoanza kumekuwa na kutokutabirika kwingi game baada ya game. Wale waliopewa nafasi ya kuingia conference finals wamebaki nje na wasiotabiriwa mazuri ndio tunao hadi mwisho.
Nimekuwa nikiwfuatilia wchambuzi nguli wa basketball,tabiri zao pia zimegonga mwamba. Kwahiyo hata ushindi wa raptors jana wengi hawakubashiri ushindi kwao ila walipenda ashinde. Raptors wakishinda game 2 wanaongeza uwezekano wa kushinda series ila sio guarantee. Mfano mbichi kabisa ni wao dhidi ya milwaukee,waliongozwa 2-0,lakini wakashinda series. Gsw amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya okc ya akina kd akapindua matokeo,cavaliers pia amewahi kuwa nyuma 3-1 dhidi ya warriors akapindua hadi kushinda series.
Kwangu mimi hii series haitakuwa rahisi kwa yeyote maana bado hatujaona potential za key players wa pande zote mbili,kutakuwa na adjustment kwenye kila game kulingana na matokeo hivyo tufurahie series tofauti na miaka 3 iliyopita (gsw v cavaliers)
Dstv wana channel inayoonyesha NBA Finals?Kwa wale ambao hawana access ya Dstv unaweza download app ya MOBDRO huko utazipata channel zote via streaming
Dstv wana channel inayoonyesha NBA Finals?
Yamekuwa hayo tena mkuu! Sio final materials against the raptors?Curry na Klay pia sio final material? Iggy je?Kupona kwa GSWs ni KD kuwepo, waliobaki wote ukiacha DRaymond Green siyo Finals Material.
KD yuko out game 2, hivyo Toronto anaichukua game asubuhi sana, baada ya hapo tutaangalia KD anarudi akiwa KD?
Yamekuwa hayo tena mkuu! Sio final materials against the raptors?Curry na Klay pia sio final material? Iggy je?
Gsw wamewahi kufanya makubwa zaidi bila ya kd,hata tukipoteza game 2 bado tunaweza kushinda hii series. Rockets walikuwa wababe kuliko hawa raptors,kd hakuwepo,hilo je unalisemeaje?
Braza, he dropped 30plus points in game 1. Huoni hio ni road to mvpIggy is old now, na unaona majeruhi yanamwandama pia.
Curry na Klay hawajawahi kufanya makubwa kwenye Finals, kumbuka mwaka ambao wamechukua ubingwa Iggy was the MVP.
Tena kulikuwa na debates za kutosha ili apewe LeBron. Then 73/9 team ika choke finals, ndiyo kumchukua KD.
Kama unaangalia game ukiwa objective, utakubaliana na mimi kwamba injini ya GSWs ni DRaymond Green kama KD hayupo.
Curry will never be Finals MVP in his career.
Curry will never be Finals MVP in his career.
Braza, he dropped 30plus points in game 1. Huoni hio ni road to mvp
Ningeshauri uwe na akiba ya maneno kidooogo. Maana his career isn't yet over, bru!
It ain't over until it's over and the Fat Lady has sung her last.The dynasty is almost going to an end.
KD is leaving, most likely this is their last shot.
It ain't over until it's over and the Fat Lady has sung her last.
For the Finals, it's a 7-games series. So don't count anyone out yet.
For the team, GSW is more than just an individual player. Let's just wait and see. If what you claim comes to happen, well...You'll be a seer, mate!
What was UR favorite moment from Game 1?My policy is to enjoy every moment of the game, so if at the end things come up against my side, I take it.
True, it's a team game not a single person. But we see the impact when star players happen to be out.
I hope Kawhi and Siakam stay strong and take game 2 tomorrow.
What was UR favorite moment from Game 1?
Sijui why nahisi kutakuwa na repeat ya Heat v Mavericks.Sina ambayo naweza ku-single out. Game yenyewe nimeiangalia kimawenge nikijua Warriors wanashinda as usual.
Game 2 naganda kuanzia mwanzo mpaka mwisho.
Hahaha, ukiwa na maana kwamba GSWs washinde 4 - 2?Sijui why nahisi kutakuwa na repeat ya Heat v Mavericks.