Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 13,505
- 51,105
Nimependa tu hapo alipo ulizia swala la ubaguzi wa Waafrika China,na Balozi tofauti za Afrika kuiandikia China juu ya huo ufedhuli wao Guangzhou
Na Tedros alikaa kimya ila aliishia kumwita sijui Mtaiwan racist kisa alikuwa na complains namna unavailable handle pandemic
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahahBarua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head hocho, sio kwa Katibu Mkuu!
hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"
hakuna "unapojibu tumia kumbukuku mkwaju 11149 mkwaju"
hakuna "kichwa cha habari chahusika"
hakuna"kny" wala "yah" wala "S.L.P. 11000 Pemba, Mtaa wa Kibandamaiti, Jang'ombe"
None of that crap tulizokuwa tunafundishwa darasa la tano kumbe huko duniani hazipo...
Ajiuzulu !! Anapaswa kunyongwa hadharani ....kabisa hasara aliyoisababisha ni kubwa mnoo.... Ila katika hili washindi ndio watakao weza ku-survive
Unapojibu tafadhali taja ....Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head hocho, sio kwa Katibu Mkuu!
hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"
hakuna "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"
hakuna "kichwa cha habari chahusika"
hakuna"kny" wala "yahusu" wala "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."
None of that crap....
Unapojibu tafadhali taja ....
Kupitia Kwa (KK) ...
Aione: ...
Yah: ...
Tafadhali rejea barua yako ya ...
Aidha, kwa mujibu wa sheria ya ... kifungu cha .... kifungu kidogo cha .... kama ilivyorekebishwa ....
Wako katika utumishi.
Hivyo basi, kwa mamlaka niliyokasimiwa kwa mujibu wa sheria ya afya ya ... na kanuni zake za kudumu kama zilivyorekebishwa mwaka .... namwagiza mganga mkuu ..... na atoe taarifa sio zaidi ....
Dudus
Kny ....
Nakala
(1) ... kwa rejea
(2) ... kwa taarifa
(3) ... kwa utekelezaji
(4) ... Faili
Longolongo ni nyingi kuliko content!
LAST BUT NOT LEAST ...ITIFAKI IMEZINGATIWA
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!
hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"
.... "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"
... "kichwa cha habari chahusika"
"kny".... "yahusu" ... "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."
None of that crap....
Mkuu karibu WeteBarua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!
hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"
.... "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"
... "kichwa cha habari chahusika"
"kny".... "yahusu" ... "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."
None of that crap....
hata huo mfumo unaosema wetu ni wao sema wao wamebadili sisi tumeendelea na mfumo wao waliotuachia tangu enzi za ukoloni na ingawa bado unatumika pia maeneo mengi duniani kama standard procedureBarua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!