Thank you President Trump for asking the WHO tough questions and talk against racism showed by China to Africans

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,235
2,000
Yesterday president Trump wrote a very serious letter to WHO.

In that letter, he pointed out very clearly when and how WHO in collaboration with China misled and misinformed the World.

As the world is witnessing hundreds of thousands of lives lost, economies of the world shattered, We commend president Trump's bold move on raising these serious questions.

We believe these questions are vital and must be answered so that this kind of pandemic doesn't occur and find people offguard.

We thank president Trumps toughness on speaking against China racism against Africans. Trump has correctly diagnosed that those acts were not random acts by chinese but a well coordinated action with the blessing of the chinese authorities.

We join hands with the international community, requiring an impartial and thorough investigations against the perpetrators of this pandemic, China and her buddy WHO

We also commend the American people for taking tough measures against China's abuse to Uighur people, The bill introduced by Senator Rubio is a very important bill to protect innocent people of Xinjiang Uighurs who are subjugated to forms of mind and phyisical torture reminiscent of Khmer rouge and other concentration camps during WW2 aiming at killing spirit of Xinjiang Uighur people to accept cultural slavery. We hope on you Mr President to sign this bill into law once it reaches your office, That will be one of your achievement. TO PROTECT LIVES and Human dignity and Freedom.

I herewith attach a letter from His Excellency president Trump for the whole world and my fellow Africans to see. This is one of the best and useful letter in our modern times.

IMG-20200519-WA0009.jpg
IMG-20200519-WA0008.jpg
IMG-20200519-WA0007.jpg
IMG-20200519-WA0006.jpg
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
8,235
2,000
Nimependa tu hapo alipo ulizia swala la ubaguzi wa Waafrika China,na Balozi tofauti za Afrika kuiandikia China juu ya huo ufedhuli wao Guangzhou

Na Tedros alikaa kimya ila aliishia kumwita sijui Mtaiwan racist kisa alikuwa na complains namna unavailable handle pandemic

Sent using Jamii Forums mobile app

Thedros ametumika na China, ameidanganya dunia mno kwenye hili suala la Kirusi cha Korona na kupelekea maisha ya watu wengi kuharibika.
 
Bu'yaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,360
2,000
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!

hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"

.... "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 490049 mkwaju"

... "kichwa cha habari chahusika"

"kny".... "yah" ... "siri"

"S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."

None of that crap....
 
hearly

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
41,051
2,000
Hw
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head hocho, sio kwa Katibu Mkuu!

hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"

hakuna "unapojibu tumia kumbukuku mkwaju 11149 mkwaju"

hakuna "kichwa cha habari chahusika"

hakuna"kny" wala "yah" wala "S.L.P. 11000 Pemba, Mtaa wa Kibandamaiti, Jang'ombe"

None of that crap tulizokuwa tunafundishwa darasa la tano kumbe huko duniani hazipo...
hahahah
 
Bwana Utam

JF-Expert Member
Feb 15, 2016
6,410
2,000
Shithole raia tunamatatizo sana
Naona turampet anazidi kutapatapa

Kwan ule msaada alosema ataukata kule WHO vp bado hajaukata tu ???

Sent using My COVID-19
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,068
2,000
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head hocho, sio kwa Katibu Mkuu!

hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"

hakuna "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"

hakuna "kichwa cha habari chahusika"

hakuna"kny" wala "yahusu" wala "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."

None of that crap....
Unapojibu tafadhali taja ....
Kupitia Kwa (KK) ...
Aione: ...
Yah: ...
Tafadhali rejea barua yako ya ...
Aidha, kwa mujibu wa sheria ya ... kifungu cha .... kifungu kidogo cha .... kama ilivyorekebishwa ....
Wako katika utumishi.

Hivyo basi, kwa mamlaka niliyokasimiwa kwa mujibu wa sheria ya afya ya ... na kanuni zake za kudumu kama zilivyorekebishwa mwaka .... namwagiza mganga mkuu ..... na atoe taarifa sio zaidi ....
Dudus
Kny ....
Nakala
(1) ... kwa rejea
(2) ... kwa taarifa
(3) ... kwa utekelezaji
(4) ... Faili

Longolongo ni nyingi kuliko content!
 
dudus

JF-Expert Member
Feb 28, 2011
13,068
2,000
WHO imechemeka vibaya sana this time. Ngozi nyeusi nayo ikipewa madaraka makubwa tabu sana! In short huyu corrupt Ethiopian ameitia Afrika aibu sana kwa kushirikiana na mabwana zake wa kichina. Halafu eti China ni "marafiki zetu"; my foot!
 
Bu'yaka

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
1,360
2,000
Unapojibu tafadhali taja ....
Kupitia Kwa (KK) ...
Aione: ...
Yah: ...
Tafadhali rejea barua yako ya ...
Aidha, kwa mujibu wa sheria ya ... kifungu cha .... kifungu kidogo cha .... kama ilivyorekebishwa ....
Wako katika utumishi.

Hivyo basi, kwa mamlaka niliyokasimiwa kwa mujibu wa sheria ya afya ya ... na kanuni zake za kudumu kama zilivyorekebishwa mwaka .... namwagiza mganga mkuu ..... na atoe taarifa sio zaidi ....
Dudus
Kny ....
Nakala
(1) ... kwa rejea
(2) ... kwa taarifa
(3) ... kwa utekelezaji
(4) ... Faili

Longolongo ni nyingi kuliko content!

ITIFAKI IMEZINGATIWA
 
Philipo D. Ruzige

Verified Member
Sep 25, 2015
6,734
2,000
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!

hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"

.... "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"

... "kichwa cha habari chahusika"

"kny".... "yahusu" ... "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."

None of that crap....
hizi za bongo tz zina heading maelezo kibao mpaka

I'll be back
 
STRUGGLE MAN

JF-Expert Member
May 31, 2018
5,223
2,000
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!

hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"

.... "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"

... "kichwa cha habari chahusika"

"kny".... "yahusu" ... "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."

None of that crap....
Mkuu karibu Wete

Sent using Jamii Forums mobile app
 
gataca

JF-Expert Member
Aug 15, 2015
359
500
Barua za wenzetu hazina crap zisizo za lazima, kwanza zinatumwa moja kwa moja kwa the head honcho, sio kwa Katibu Mkuu!

hakuna zaga zaga za "rejea tena kichwa cha habari hapo juu"

.... "unapojibu tumia mkwaju kumbukumbu mkwaju 49110049 mkwaju"

... "kichwa cha habari chahusika"

"kny".... "yahusu" ... "S.L.P. 11000 Mkanyageni, Mtaa wa Kibandamaiti, Chake Changu Pemba."

None of that crap....
hata huo mfumo unaosema wetu ni wao sema wao wamebadili sisi tumeendelea na mfumo wao waliotuachia tangu enzi za ukoloni na ingawa bado unatumika pia maeneo mengi duniani kama standard procedure
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom