Mi unafikiri hata napata nae shida mkuu waaala sipati nae tabu,,Hutu wangu anaomba radhi kwa ishara tu na anakubali kosa kwa kukaa kimya huwa hajibu kitu kama amekosea baas,,na akishajua amekosea chochote unachoomba utapewa hata usichoombakritika maliyamtu Wengine hawaombi msamaha si kwamba ni wajeuri au wana kiburi, La hasha!
Kipo kitu ndani ya maumbile yao, Someni saikolojia yao. Katika yale makundi manne, muwatambue wako makundi yapi na faida zake na madhaifu yake pia.
Mnapotaka madume, mkumbuke pia kuna tofauti kati ya neno, "Behaviour" na "CHARACTER"
NOTE: Wako wanaokubali kwa ishara kwamba wamekosa lakini hawatamki kwa mdomo, mfano ni kajike nilikowahi kuwa nako, kalikuwa kanakubali kamekosa ila akaombi msamaha.
Asante kwa kutuelewesha,tutajitahidi kufanyia kazi,ila tukiharibu kazini tunapiga mpaka magoti ila huku nyumbani ndio inakuwa shida,lakini moyoni huwa tunajutia kweli,mi nadhani ni kwasababu wanaume wengi tuna aibu...Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]asante, nina mastres yangu nimetoka kununua samaki wa kukaanga nikatia kwenye mfuko asaiv natoa nile kumbe mshenz yule kaniwekea mbichi, asaiv nipo nakodoleana macho na lijikambale hapa na misharub yake, nimemaind kinyama asubuh nampelekea shombo yake. Bongo maisha magumu ila kuna mijitu inazd kuchochea, nakula mkate na uji.
Thats right. Tatizo wengi wa dad zetu wanataka kuwa macho man. Muhuni, anae watreat vibaya. Wenyew wanaita bad boy.Mimi huwa naomba msamaha na sjawahi kuona kama ni weakness, isipokuwa nione kabisa dhahiri makosa yangu. kuomba msamaha hakunifanyi a lesser man. Bali kuna nifanya a responsible man
Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Katika maisha pole huonesha kuguswa na kujali. Kutoa au kuomba msamaha ni kwa kundi fulani, la kwenye akili za kati. Wenye akili ndogo wao ni kulipiza. Kwenye akili kubwa wao ni kupuuza.
Ladies, kwako mume/mpenzi wako anapokukosea una-prefer aombe samahani ya aina gani?
Ipi unadhani ni ya dhati?
Anyamaze kimya ila ajaribu kuku-WIN kwa kukununulia zawadi na kukufanyia vitu vizuri ambavyo alikuwa hafanyi mwanzo mf. Kukutoa out, kukusaidia vikazi vidogo vidogo nyumbani, kujali hisia zako na mahitaji yako binafsi, kuwahi kurudi nyumbani, kukushirikisha mambo yake n.k
Au kukuambia SAMAHANI, NILIKUKOSEA, HAITOTOKEA TENA halafu basi?
Wakaka/wababa huwa mnamaanisha nini pale mnapogoma kusema samahani na badala yake kuanza kumwaga mazawadi na pesa kwa wenzi wenu?
Sijui ni mimi tu ninaye experience hiki tu ila kwa mtazamo wangu wanaume tupo tayari kujishusha na kuomba msamaha, hata kama hakuna kosa ulilotenda. Trust me hakuna mwanaume anayependa nyumba ambayo haina amani.