katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,126
- 5,761
Ndio maana tunayachezea tu kama vifimbo cheza harusi nchi nyingine unaona kama lady jadee katoa kifaa njee.Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Mtu akupe fedha na msamaha akuombe huo utakuwa uchiziUnalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Omba na wewe uwe unauzika huko nje lakini kama ndio sura kama kiatu utabanana na hawa hawa wa bongo.Ndio maana tunayachezea tu kama vifimbo cheza harusi nchi nyingine unaona kama lady jadee katoa kifaa njee.
Haya ni mazuzu na machizi utahangaika nayo mpaka utakufa au utazeeka hayajijui licha yakujue dada chukua hatua mapema.
Tafuta wanaume nje ya nchi sio hapa unamuona gig money .
Asilimia kubwa wao hawajitumi yanatunzwa.
Yanapenda kulelewa.
Ipo siku yao yatageuzwa kisa uvivu.
Mnachokosea ni kufanya ujumuishi katika mambo mnayokutana nayo mnadhani kila mtu ni mjinga kama mnavyodhani.Mbona nyinyi wenyewe hamridhiki? Mwanamke una wanaume 7 kila mmoja ana ratiba yake,wenyewe mnaita "KUDANGA"mwogopeni MUNGU wakina dada.Ndio maana tunayachezea tu kama vifimbo cheza harusi nchi nyingine unaona kama lady jadee katoa kifaa njee.
Haya ni mazuzu na machizi utahangaika nayo mpaka utakufa au utazeeka hayajijui licha yakujue dada chukua hatua mapema.
Tafuta wanaume nje ya nchi sio hapa unamuona gig money .
Asilimia kubwa wao hawajitumi yanatunzwa.
Yanapenda kulelewa.
Ipo siku yao yatageuzwa kisa uvivu.
Unamdomo kama wewe ndio mtakatifu na huku unachagua utachagua mpaka uoe jini.Mnachokosea ni kufanya ujumuishi katika mambo mnayokutana nayo mnadhani kila mtu ni mjinga kama mnavyodhani.Mbona nyinyi wenyewe hamridhiki? Mwanamke una wanaume 7 kila mmoja ana ratiba yake,wenyewe mnaita "KUDANGA"mwogopeni MUNGU wakina dada.
Ahaa mkuu! Umetushusha sana aisee!Mhh mwanaume aombe msamaha looh,,kwenye 1000 hata mmoja unaweza usimpate
Kwakweli wengi wenu hamuombagi msamaha nyie watu mnakaa kimya tu cjui mmeumbikajeAhaa mkuu! Umetushusha sana aisee!
TATIZO JITU, NAKUBALI KUJIFUNZAUnalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Sisi ni wanaume, Tunatofautiana katika malezi na ktk mazingira, Wako watu ktk ukanda fulani kumuomba msamaha mwanamke ni kosa la jinai. Nikikosa huwa nakubali yaishe, Najishusha na ninaomba msamaha kiroho safi tu.Kwakweli wengi wenu hamuombagi msamaha nyie watu mnakaa kimya tu cjui mmeumbikaje
Hizo movie mnazoangalia ukadhani na mwenzio kaangalia, kinawasababisha muishie kuwa masingle maza.Unalikuta jitu umelikuta na makosa kibao ambao kiuhalisia unatakiwa kuliacha na kulipiga chini mazima laikini unasema ngoja kwanza nilipe nafasi nyingine kama litakuja kuomba msamaha,jitu linakuja kichwa kichwa halijui hata liombeje msamaha yani limebung'aa
Kuna stages na steps za kuomba msamaha ukiruka hata moja tu msamaha utausikia kwa wenzio tu
Kuwa mjinga kubali hujui ili ujifunze
Mkuu, amekuelewa lakini!?nimetoka kuomba msamaha leo hii...baada ya kuharibu weekend....sioni ka nimepungukiwa kituuu....