kenneth Emmanuel
Member
- Jan 3, 2020
- 16
- 41
😆😆😆😆Kwakuwa Mungu si Selee wee seleee a.k.a @GENTAMYCINE!
Na wenyewe tutaenda kuwapigia huko huko Mkwakwani. Na uzuri tunatambua fika hao Coastal ni Simba B.Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo
Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023
Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.
HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya
TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
Huu ni upumbavu,unaogopa Coastal ?Timu mnayoidhamini wenyewe?Silaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo
Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023
Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.
HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya
TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
Huu ni upumbavu,unaogopa Coastal ?Timu mnayoidhamini wenyewe?
Namungo timu mnayoidhamini wenyewe leo unaiitaje?
Mnaogopa kwa sababu mlishinda kichawi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Shenzi kabisa Tifuatifua ya Karai.Na katikati ya mbanano huo wa Yanga eti mechi ya Simba na Azam imesogezwa hadi January!
Nbc pl timu ngumu zinajulikana,kabla ya kukutana na makolo Yanga iliandaliwa ipoteze point kwa azam na singida then ikikutana na makolo wapoteze,wakitoka hapo wanaenda mkwakwani uwanja ambao uwa ni mgumu kwao,hii ilipangwa kimkakati ili hadi sec round itakapoanza Yanga awe amepitwa kwa gape kubwa za pointi na makoloSilaha kubwa ya TFF katika kupanga matokeo ni Ratiba ya ligi ambao kanuni za mpira zinaheshimika Ratiba ya ligi haibadiliki na inakua FAIR kwa timu zote shiriki.
Yanga wanawafuata coastal J5 inalazimu kusafiri baada ya mechi ngumu dhidi ya simba iliyochezeshwa J'2 halafu ndani ya siku 3 pamoja na kusafiri, ubovu wa kiwanja cha Mkwakwani Yanga inakwenda Mkwakwani wakiwa wanaiwaza mechi ya belouizdad fc kwa hiyo wanaiendea mechi ya Coastal Union kwa tahadhari nyingi, simba wapo Dar dhidi ya Namungo Fc (Mjukuu wao) mechi isiyotegemewa kuwasumbua simba kwa ukaribu walionao na Namungo
Yanga wanakutana na wapinzani wao wengine wa ki historia Coastal Union ambao hawaja safiri na mara ya mwisho kucheza ilikua tarehe 01/11/2023 na mechi zao 3 mfululizo wamecheza nyumbani hawajatoka ndio wanakutana na Yanga iliyotoka kucheza na simba tar 05/11/2023
Yaani TFF wamehakikisha Yanga inakutana na Coastal iliozoea uwanja bila uchovu wa kusafiri mechi 2 kuindea mechi na Yanga.
HALAFU USEME TFF HAIPANGI MATOKEO Kwa ambao hawajawahi kuongoza timu za Premier League hayajui haya
TFF ya Karia ni Maharamia wa mpira wa Tanzania dhamira yao kubeba timu moja Tanzania ndio azma yao kuu
Andikeni barua mjitoe kwenye ligi kuu au CAF, chagueni wenyewe.