Jacobus JF-Expert Member Joined Mar 29, 2011 Posts 4,708 Reaction score 1,734 Jul 23, 2012 #1 Napenda kuwapongeza TFF kwa kuhakikisha mkoa (nchi) Dar Es Salaam soka linakuwa, nasi huku mikoani tunatumia rasilimali tulizo nazo kuendeleza soka vilevile na Inshaala ipo siku tutafikia kiwango cha Ulaya. Uwanja huu tunautengeneza wenyewe. Attachments IMAG0044.JPG 192.6 KB · Views: 45 IMAG0063.JPG 272.8 KB · Views: 45
Napenda kuwapongeza TFF kwa kuhakikisha mkoa (nchi) Dar Es Salaam soka linakuwa, nasi huku mikoani tunatumia rasilimali tulizo nazo kuendeleza soka vilevile na Inshaala ipo siku tutafikia kiwango cha Ulaya. Uwanja huu tunautengeneza wenyewe.