Kichaa Msafi
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 1,088
- 2,141
Hi nchi inachekesha sana makocha walio tufanyia mambo makubwa ndio wanao chukiwa na kukejeliwa
Maximo alitupeleka CHAN
Amunike alitupeleka AFCON
kwangu mimi hawa ndio makocha bora kabisa kuwahi kuifundisha timu yetu ya Taifa
Miaka 10 imepita CV ya Maximo haijavunja
Naamini itapita miaka 10 hakuna atakae vunja CV ya Amunike
Tanzania itakuwa sio nchi ya kwanza kumwajiri kocha ambaye ashawahi kuifundisha miaka ya nyumaMaximo tena karne hii! Mimi nadhani zama zake zilishapita. Muhimu hao tffccm waangalie tu kocha aliyekamilika ndani na nje ya uwanja. Wasituletee tena Amunike mwingine. Tunataka wamlete kocha.
Well Said brotherHi nchi inachekesha sana makocha walio tufanyia mambo makubwa ndio wanao chukiwa na kukejeliwa
Maximo alitupeleka CHAN
Amunike alitupeleka AFCON
kwangu mimi hawa ndio makocha bora kabisa kuwahi kuifundisha timu yetu ya Taifa
Miaka 10 imepita CV ya Maximo haijavunja
Naamini itapita miaka 10 hakuna atakae vunja CV ya Amunike
Mimi naamini tukiondoa siasa michezoni na tukaweka mbali uchura na umkia tutafika mbali sana tanzaniaTanzania hata tumlete Klop.na Gadiola kwa paomoja hatuendi mahali bila maandolizi ya maana.
Hapana namaanisha kombe la dunia unalolijua wewe ambalo ufaransa ni bingwa mtetezi, kwenye play of tunacheza na Burundi, tukishinda ndo tupangiwe makundiUna maana ya African cup...
Kama mada isemavyo, bila kupepesa macho naomba tff wamrudishe maximo,
Naamini kwa uzoefu wake katika soccer la Tanzania na mpira anaoufundisha wa 50% kushambulia na 50% kuzuia naamini tutafika Qatar, pia anajicho la kuchagua wachezaji na mhamasishaji pia, Ndayiragije kandarasi yake naamini itaishia nyayo pâle Nairobi.
Makisimo anafundisha timu gani kwa sasa (wapi pa kumpata)