TFF mnawaogopa Yanga?

Hata TFF kina vikundi viwili. Kimoja Simba kingine Utopolo.
Usitegemee kimaamuzi watatoka na lugha moja.
 
Umeyaleta haya malalamiko kama nani? Mwakilishi wa huyo mdhamini, au! Mbona unapata tabu sana!!! Unapungukiwa nini kwa timu ya Wananchi kutotumia hiyo nembo nyekundu?
 
Hili limekuwa solved muda mrefu.
Why bring the same shit every season?
Mdhamani keshasema hana shida nalo.
 
wamiliki wa Vodacom hapa Tz ni mashabiki wa Yanga na wao wameridhia tena kiroho safiii kabisa, sasa wewe mkia unawashwa washwa na nini?
 
Yanga ni washamba sana,walikuwa wanatamani wamvue huyu Calinya raba zake nzuri nyekundu.
 
wamiliki wa Vodacom hapa Tz ni mashabiki wa Yanga na wao wameridhia tena kiroho safiii kabisa, sasa wewe mkia unawashwa washwa na nini?
Kiongozi, wala hawaitaji kuwa mashabiki. Wanaijua nguvu ya Yanga kwenye soko. Wengine ndiyo wanaketa fyongo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…