hili ni tatizo la watanzania kufikiri kwa kutumia masaburi badala ya ubongo, mlijuia mlifahamu kuwa Jamal hana uwezo wala uzoefu wala upenzi wa mpira si tu wa miguu bali mpira wowote. hana familia ukiitaka itakubidi ufanye interview ya kunakili wanawake wote waliowahi kuwa wake zake na watoto wote walioko huko duniani, hana biashara yoyote ile zaidi ya share norminal kweye kampuni ya cargo stars inayofilisika kila leo, hana shamba, huyu ndio mlitaka aipandishe soka ya tz? you must be fools just llke him linyweni hiloNi kweli huyu Rais wa Tff utendaji wake sio mzuri.Kwa sababu tangu aingie imekuwa hasara baada ya faida.Hili linaniuma sana Tanzania kufungwa goli 7 na Algeria sikuona sababu kabisa alitakiwa awajibike yeye kwa maamuzi yake yaliyotughaharimu.
Sababu yangu ndio hiyo kwanini Rais wa Tff hafai kuwa hapo.
Utatukanwa, mshenzi we , wahaya wanaingiaje na TFF, stupid burgerinasemwkana now tff wanaomba magar mabus ya simba yanga azam kwaajili ya safar zao tff inapata ela kubwa kutoka kwa wafadhir tbl ila wahaya wanafanya yao
Wewe ungelifanya nini? Toa solution wacha kulaumu tu. Unajua undani wa matatizo haya au unapiga kelel tuMara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo:
1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao wanauweza kufungwa kwa sbb ya madeni
2 - Hawajui nani anapaswa kumlipa mkwasa kama TFF au serikali
3 - Walibuni njia ya kutafuta vipaji kwa kufuata mikoani na kuweka kombe kyela kumbe changa la macho
4 - Kwa kipindi alichokaa malinzi hakuna maendeleo
5 - Hawajitambui hata jinsi ya kupanga ratiba ni panga pangua
6 - Wamenyima demokrasia vilabu na kumfungia mwanasheria kwa miaka kisa tu ukweli unauma
7 - Naona maamuzi yao mengi ni ya kukurupuka tu
Hayo ni maoni yangu naona swala la mpira bongo hii kama day dreams
We hujui kuwa kajaza wahaya pale?Utatukanwa, mshenzi we , wahaya wanaingiaje na TFF, stupid burger
Hivi jamani huyu tunamlealea, nae anatakiwa akamatwe apigwe mnada!Namshauri aachie ngazi na kukaa pembeni tu itakuwa busara zaidi
Mkuu umesahau na ile kashfa ya kupanga matokeo ligi daraja la kwanza.Mara nyingi sana naiguatilia hii TFF ya malinzi kama inajielewa au vip kwa sababu zifuatazo:
1- Wanadaiwa bil 1.8 na nimemsikiliza huyu malinzi analalamika na kusema hata uwanja wa karume nao wanauweza kufungwa kwa sbb ya madeni
2 - Hawajui nani anapaswa kumlipa mkwasa kama TFF au serikali
3 - Walibuni njia ya kutafuta vipaji kwa kufuata mikoani na kuweka kombe kyela kumbe changa la macho
4 - Kwa kipindi alichokaa malinzi hakuna maendeleo
5 - Hawajitambui hata jinsi ya kupanga ratiba ni panga pangua
6 - Wamenyima demokrasia vilabu na kumfungia mwanasheria kwa miaka kisa tu ukweli unauma
7 - Naona maamuzi yao mengi ni ya kukurupuka tu
Hayo ni maoni yangu naona swala la mpira bongo hii kama day dreams
Mkuu nimecheka kweli..yaani kwa mtu mwenye akili ukimuangalia tu yule Malinzi unagundua ni mbabaishaji anaishi kiujanjaujanja tuhili ni tatizo la watanzania kufikiri kwa kutumia masaburi badala ya ubongo, mlijuia mlifahamu kuwa Jamal hana uwezo wala uzoefu wala upenzi wa mpira si tu wa miguu bali mpira wowote. hana familia ukiitaka itakubidi ufanye interview ya kunakili wanawake wote waliowahi kuwa wake zake na watoto wote walioko huko duniani, hana biashara yoyote ile zaidi ya share norminal kweye kampuni ya cargo stars inayofilisika kila leo, hana shamba, huyu ndio mlitaka aipandishe soka ya tz? you must be fools just llke him linyweni hilo