Haiwezekani wenye taaluma ya madawa na maswala yanayohusiana na hayo wakalipwa mshahara sawa. kwa sababu kuna core department na supporting department kwa hiyo ungesema ni taaluma ipi umeajiliwa nao. Nadhani watu watfunguka vizuri
TFDA wana salary scale so huna haja ya kuhangaika, watakupa barua ya ajira inayoonesha mshahara wako hapo ndo utafanya maamuzi, otherwise kama ni special skill ziuze kwa bei ya soko kulingana na professional yako.