Nasikia kuna nyumba imeungua Geita mtaa wa Nyankumbu usiku wa leo na watoto 3 kufia kwenye nyumba na mmoja kafia baada ya kufika hospitalini! Mlioko Geita tupeni taarifa.
Siyo tetesi. Ni kweli. Nimehudhuria mazishi ya watoto hao jioni hii. Ni watatu, wa familia moja. Dada yao mkubwa amelazwa bugando. Baba na mama wamelazwa geita. Inasikitisha sana