Nimetokezwa kuwa wakati wananchi wakiwa na kiu ya matokea ya uchaguzi hasa jimbo la MBEYA MJINI, Mh. Lowasa na Makamba wako hapo mjini na polisi wanazidi kupiga mabomu kutawanya watu wenye KIU ya matokeo.
Walioko MBEYA please confirm this rumours!

Hawa jamaa watajifunza pale mmoja wao atakapokatwa shingo na wananchi waliochoka kuonewa. Wanaposikia watu wanakatwa mapanga huko Mara wanadhani wao ni immune ole wao...