Tetesi: Ccm wanaendelea kununua kadi za kupigia kura arumeru east kwa laki tsh 100,000/=

commited

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
1,626
870
Habari zenu wakuu,
naomba niripoti tetesi hii kutoka kwa jamaa yangu aliyeko arumeru east kunakofanyika kampeni za ubunge wa jimbo hilo kuwa..ccm wameendelea kununua kadi za kupigia kura kwa tsh 100.000/= kila moja. Naomba ndugu zangu kama kuna mwenye data zaidi na uhakika na hili atujuze kwa sababu siasa si ugomvi tunachotaka ni sera nzuri na zinazotekelezeka. Atakayeshinda kihalari atangazwe na tume ya uchaguzi na awatumikie wananchi, na atakayeshindwa basi akubari. Mwenye taarifa zaidi atujulishe tafadhali
 
waambie nina kadi yangu na ya mke wangu nitapata 200,000?
 
Hata milion wanunue! Ila ushindi chadema lazima. Hii ni nguvu ya umma eti!!!
 
wakuu hapo juu nawashukuru kwa michango yenu.. lakini hofu yangu ni kwamba kama n i kweli wanafanya hivyo wanaweza kuleta maafa kwa jamii kwani kama watarazimisha ushindi watu wanaweza kuleta vurugu zitakazo leta maafa kwa nduguzetu.. CCM wabadilike kwa kweli asiyekubali nsi mshindani wao ndio husema ooh tushindane kwa sera sasa kununua kadi za watu ndio sera?
 
TAARIFA za uzushi!
mkuu unauhakika gani na hayo.. au wewe ndiye mnunuzi... umeambiwa ni tetesi then unakurupuka we utakuwa unafaidika na mfumo wa wizi ulipo sasa wa serikali yako legelege.. lakini umefikiria watotowako na nduguzako wataishi Tanzania ipi miaka 20 ijayo?..polesana
 
najaribu kujiuliza hivi kwanini CCM huwa hawako tayari kushindwa hivi ni chama kilichoandaliwa kuitawala Tanzania milele? kwanini walikubali mfumo wa vyama vingi.. maana hii ni sawa na kuruhusu demu wako atumike na vijamaa halafu hutaki kumpa uhuru wake unambaniaa!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…