Katika picha hizi inaonesha wazi Iran bado ni third world country. Kwa nini Marekani inaiona ni tishio kwake? Huku ni kupakwa majivu ya macho. Iran kamwe haiwezi kuitishia Marekani iliyo maili elfu 10 away. Hawa wanataka vita ili kuchukua utajiri wa Persia tu. Bajeti ya Iran ya Wizara ya Ulinzi ni bilioni 9, ukilinganisha na trilioni ya Mrekani. Wapi na wapi?