Ki passo changu hakifiki hapo juu, angeshusha maneno chini kidogo
Begi hewa tena???Jaribisha begi hewa lako hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Tafsiri ya neno kwa nenoBegi hewa tena???
[emoji23] [emoji23] au umetumia google translate???Tafsiri ya neno kwa neno
hiyo ni ya kwangu .. ya GT hii hapa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji23] [emoji23] au umetumia google translate???
Huwa nafurahi sana nikikuona kwenye original position yakoNani wa hivyo.,,hujitakii mema nini..hahahaha
Mbona yangu haileti
hapo kwenye airbag usiyabananishe...andika hivi air bagMbona yangu hailetiView attachment 718788
Haha sawa em nijaribu tenahapo kwenye airbag usiyabananishe...andika hivi air bag
hapo kwenye airbag usiyabananishe...andika hivi air bag
Hahaha tumuulize mtoa mada, labda walikuwa wanamaanisha gari dogo ?( sijui lakini)View attachment 718790nataka kujua huu mfuko wa hewa ndio upi?
Yan hapa ntafikiria mengi,na naona akili inakonipeleka kufikiria siko kabisaHahaha tumuulize mtoa mada, labda walikuwa wanamaanisha gari dogo ?( sijui lakini)
relax, usiumize kichwa sanaYan hapa ntafikiria mengi,na naona akili inakonipeleka kufikiria siko kabisa