Test your airbag here!

haaaaaaa inaweza isitoke ukajikuta kati ya vyuma
 
Duhhh.......
Ghafla nimejikuta nakumbuka kifo cha marehemu Kidiku tulimpoteza kwa mazingira kama haya, pale kwenye kona ya kutokea ilogi, takriban meters 400 kitoka kituo cha bugarama 1, karibu kabisa na nyumba ya Mzee luchanganya mkabala na nyumbani/bar ya marehemu kiwango, palipo tazamana na dukani kwa mama Peter/Mrs Busa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…