lampard,gerrad,rooney na tell ni wachezaji wa uingereza kidogo kama nimepewa mamlaka ya kuunda timu ya dunia naweza kuwaita na kuwaweka benchi,sijaona bado vijana wanaochipukia wa uingereza wa miaka ya hivi karibuni wenye kiu ya mafanikio kama hawa,wengi wapo wapo tu hawamfikii rooney au michael owen enzi zao za miaka 18,19-21
Big up tell mkataba unakuhusu asilimia 100-Manchester utd fan