Sijaelewa ..umefukuzwa kazi kwa kosa gani achaambo ya jamaa yako sijui..
Prerogative orders zote zatolewa high court
Any matters pertaining to the employment contracts are managed through Employment and Labour Relation Act na sii vinginevyo. Pa kuanzia ni CMA ambapo hapo atapata maelekezo tore.Kesi yake iko poa sana na atashinda under improper procedure. Ila uzoefu nikki nao Watanzania wengi ni waoga sana utashangaa hata huyu Jamaa akaachia tuu mambo yakaisha kienyeji.....Namtakia kila la kheri
Mkuu hapa itategemea na aina ya kosa alilolifanya huyo mfanyakazi. Akienda CMA atafungua mgogoro wa kuondolewa kazini kimakosa na wanaweza wakaamuru arudishwe kazini ila kama ni kosa serious kama ufisadi mwajiri anaweza kulipa kisasi kwa kumpeleka mahakamani na kumfungulia kesi ya jinaiAny matters pertaining to the employment contracts are managed through Employment and Labour Relation Act na sii vinginevyo. Pa kuanzia ni CMA ambapo hapo atapata maelekezo tore.Kesi yake iko poa sana na atashinda under improper procedure. Ila uzoefu nikki nao Watanzania wengi ni waoga sana utashangaa hata huyu Jamaa akaachia tuu mambo yakaisha kienyeji.....Namtakia kila la kheri