Gharama za kumrudisha mtumishi kwao baada ya kustaafu ama wakati wa uhamisho n.k ni
(1000 tsh x numbers of km to employee point (tonnes elligible)).
Mfano, kama wewe unatakiwa utoke dar to mwanza ambako ni 1400km na unastahili kulipwa tani 3.
Hesabu zake ni kama hivi
1000x1400x3= 4,200,000/
kwa hiyo lazima kwanza wewe mwenyewe ujue sera ya ofisi yako unastahili kusafirishiwa mizigo yenye uzito kiasi gani mkuu.