Tanzania Tech
JF-Expert Member
- Dec 8, 2016
- 355
- 276
Unaweza kuweka Adsense, Kuhusu TCRA kama website ni ya biashara au kampuni hakuna tatizo.TCRA hawaidai vibali web ya namna hii?
Ninaweza kuimonetize?
Nimesahau kidogo let me check... ila nime editi sana.Template uliyotumia kwenye hiyo blog ya teknlojia inaitwaje???
But unaweza kuangalia Templet nilichukua kwenye website link ipo hapo chini ya video.Template uliyotumia kwenye hiyo blog ya teknlojia inaitwaje???
Sawa icheki mkuu ..Nimesahau kidogo let me check... ila nime editi sana.
Namaanisha kuidai vibali kama iliyosababisha baadhi ya blogs na websites kufungiwaUnaweza kuweka Adsense, Kuhusu TCRA kama website ni ya biashara au kampuni hakuna tatizo.
Sina uhakika sana na unacho uliza ni vizuri kutembelea Tovuti ya TCRA au unaweza kutengeneza uzi hapa Jamii forum ili kujua zaidi.Namaanisha kuidai vibali kama iliyosababisha baadhi ya blogs na websites kufungiwa
Basi naomba nianzie mbali kidogo.Sina uhakika sana na unacho uliza ni vizuri kutembelea Tovuti ya TCRA au unaweza kutengeneza uzi hapa Jamii forum ili kujua zaidi.
Nimesikia na nimekujibu hapo Juu > Inategemewa na aina ya tovuti uliyo nayo. Kama ni tovuti ya Biashara au tovuti ya kampuni basi huna haja ya kulipia. Tovuti ya biashara na maana kama tovuti ya kuuza na kununua au zingine kama hizo.Basi naomba nianzie mbali kidogo.
TCRA walitoa maelekezo ambayo yalitaka wamiliki wa blogs, websites, youtube na online radio walipie ada ya vibali na leseni ya kumiliki nilivyovitaja. Leseni itakua inahuishwa upya kila mwaka.
Kushindwa kulipia hivyo vibali na kukata leseni kutafanya umiliki uwe batili na website, blog, channel ya youtube au online radio husika itafungiwa.
Haukusikia hili swala chief?
AsanteNimesikia na nimekujibu hapo Juu > Inategemewa na aina ya tovuti uliyo nayo. Kama ni tovuti ya Biashara au tovuti ya kampuni basi huna haja ya kulipia. Tovuti ya biashara na maana kama tovuti ya kuuza na kununua au zingine kama hizo.
Asante sana, kupitia maelekezo hayo nmeweza kufungua website ila ningependa kuitumia kujifunza zaidi maana sio mjuzi wa hizi mamboHabari wana JF, Natumaini wote mko salama. Weekend ya leo nataka kushare na nyie njia ya kutengeneza tovuti website bila kulipa gharama yoyote. Njia hii itakusaidia kuweza kutengeneza domain ya bure pamoja na kupata njia rahisi ya kuweza ku-host website yako.
Unaweza kutengeneza Blog, Website ya ofisi au hata tovuti ya wasifu yenye jina lako. Njia hii ni rahisi na nzuri sana kwa wale wanao anza kuwa na website au tovuti kwa mara ya kwanza, basi bila kupoteza muda twende tukangalie njia hii rahisi.
LINK MAALUM
1. Tovuti ya Freenom kwaajili ya domain ya bure - Freenom - A Name for Everyone
2. Unaweza kupata Templent za bure za blogger hapa - Blogger Templates
3. Tovuti niliyotengeneza ya bure - Teknolojia
4. Tovuti ya Tanzania Tech kwaajili ya Habari za Teknolojia - Tanzania Tech
5. App ya Tanzania Tech ya iOS na Android - Tanzania Tech
KWA #MAUJANJA ZAIDI HAKIKISHA UNAENDELEA KUTEMBELEA TANZANIA TECH PIA USISAHAU KU-LIKE, SUBSCRIBE NA KAMA UMEKWAMA TUANDIKIE KUPITIA MAONI HAPO CHINI.
Karibu sana naandaa makala jinsi ya kuweza kutengeneza App kwaajili ya Hiyo website pamoja na jinsi ya kuweka template.Asante sana, kupitia maelekezo hayo nmeweza kufungua website ila ningependa kuitumia kujifunza zaidi maana sio mjuzi wa hizi mambo
Ni kwa namna gani naweza kuifanya website hiyo ionekane kwenye search engine
Samahani kwa kuchelewa kujibu, Ndio unaweza kufanya hivyo Fuata hatua kwenye video hapo juu. Kama utakwama pia unaweza kutuandikiwa hapa.Je naweza kutumia domain hiyo ya freenom nikabadili blog yangu ambayo nilishatengeneza inatumia free domain ya .blogspot
Asante sana mkuuSamahani kwa kuchelewa kujibu, Ndio unaweza kufanya hivyo Fuata hatua kwenye video hapo juu. Kama utakwama pia unaweza kutuandikiwa hapa.
Karibu sana kaka.Asante sana mkuu