mtafuta-maisha
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 1,982
- 2,934
Kweli paypal hawapokei ela kwa Tanzania kwahiyo hapo njia ya kupata pesa ni via payoneer.Mr. Nashukuru kwa kunifumbua macho. Mm mwenyew nataka kufungua blog mbili zenye content za kiswahili lkn nimejaribu kuangalia kuhusu kwanza, seebait na pinpoint Africa lkn nikapata jibu wababaishaji kweny malipo na hawana matangazo mengi.
1.Kwa njia hiyo ya paypal mpunga unatolea wapi maana nasikia TZ hawasupport paypal?
2. Je, Ni kampuni gani mbali na hiyo inayotoa mpunga mzuri kwa content za kiswahili?
jr garama ha hio card yao ni kiasi ganiKweli paypal hawapokei ela kwa Tanzania kwahiyo hapo njia ya kupata pesa ni via payoneer.
Unaingia kwenye web ya payoneer unajaza form watakutumia kadi kwa njia ya posta then utaiactivate so ela itakuwa inawekwa humo unaweza withdraw kwenye atm yoyote inayokubari visa/master card
Ni bure na unatumiwa bure, ila watakuwa wanakata % flani kila unapoitumiajr garama ha hio card yao ni kiasi gani
Je, unaweza kutumia kadi (account) moja kweny blog 2 zinazotumia kampuni hiyo moja ya matangazo kupokelea hela?Ni bure na unatumiwa bure, ila watakuwa wanakata % flani kila unapoitumia
Ndiyo mkuuJe, unaweza kutumia kadi (account) moja kweny blog 2 zinazotumia kampuni hiyo moja ya matangazo kupokelea hela?
ngoja nijaribu bahati yanguNi bure na unatumiwa bure, ila watakuwa wanakata % flani kila unapoitumia
Umejibu km mtoto wa darasa la pili B.Uongo tu
Uongo ni nini kati ya nilichoandika?Uongo tu
Achana naye huyo. Wivu na ujinga unamsumbua. Mambo unayoyaweka hapa baadhi hawapendi , wanataka watu waendelee kuwa mbumbuu ili wao wapige hela.Uongo ni nini kati ya nilichoandika?
Uongo ni shorte.st au payoneer?
Usidhani ni kazi rahisi kupata hiyo ela inabidi uwe na clicks za kutosha na ukiwa na clicks za USA ndipo unapata zaidi na ukiwa mtu wa kukata tamaa huwezi fikiaha hata dola 5.
Payoneer hawana uhusiano na shorte.se ila hii ni njia ya kupokea malipo nadhani wengi ambao ufanya kazi na kulipwa from abroad watakuwa wanaijua hii njia hata kuna watu wa google adsense nadhani wanapokea via payoneer.
No research no right to speak
Kama hujui nyamaza/ulizaUongo tu
Nshomile usidhani unajua kila kitu na hakuna niliposema ni kazi rahisi maana ela inapatikana kutokana na clicks[emoji35] [emoji35] [emoji35] Acha kutupumbaza mzungu kukulipa USD 5 si kazi rahisi waweza kaa mwaka mzima .
nataka kujiunga huko nina blog yangu nipe njia zipi niingie hukoNshomile usidhani unajua kila kitu na hakuna niliposema ni kazi rahisi maana ela inapatikana kutokana na clicks