Temptation (Majaribu)...

Trial balance

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2020
Posts
202
Reaction score
160
Nilikuwa na mwanaume tuliachana akanipa masharti ya kutomtafuta wala kumtumia message akidai ataziona mwanamke aliyenaye sasa na ilishawahi tokea nikatuma text kwake mwanamke wake akaanza kunipa vijembe nikaamua kuacha ila niliumia sana mana yeye mkorofi kanichukulia ma X japo tuligombana lakini tungeweza suruhisha na kuendelea na maisha yetu.

Tumebahitika kupata mtoto mmoja, nikaendelea kufata sheria zake kwamba nisimtafute. Kuanzia wiki ilopita akaanza nitumia text kwamba amenimic, nikamwambia nimemmic pia nikapotea kwa mda akaniuliza nimekua adim mtandaoni kwanini nipo kimya katika kuchat? Akaanza nitumia picha zake nyingine ajavaa shati nyingine kavaa nikamsifia picha ziko poa kapendeza pia. Akanambia ana mawazo sana nikamliwaza kwa kumtumia baadhi ya nyimbo still nampenda.

Je, kupitia haya unaona nini kipo kichwani mwake? Maana hajawahi nitamkia turudiane ila akanambia tu anahisi nishapata mtu mwingine nikamwambia hapana na bado hakuamini akidai namficha.

Maoni yako muhimu ila hatujarudiana hadi sasa.
 
Kwa ninachokiona akili mwako ni kwamba unatamani mrudiane, akili yake muachie yeye anaweza kuja kupasha kiporo akatembea tena
Uko sahihi. Baharia anataka kupasha kiporo tu. Huyu naye bado ana hisia basi anachezewa tu kama mwanasesere. Baharia kaboreka huko aliko. Wanaume sisi yaani ni mtihani sana hata wa Cambridge cha mtoto [emoji16][emoji16][emoji16]

Ila kwa vile wamezaa pamoja itakuwa vizuri kama wakirudiana ili mtoto apate mapenzi ya wazazi wote wawili.
 
Ni ngumu kukubali ila huyo mwanaume hakupendi.
Usipokubali sasa basi utakuja kukubali baadae baada ya kuona vitendo ving vinavyoashiria kutokupenda.

Hayo anayofanya ni kama anatania tu, wanaume tukiboreka sometimes tunaweza tingisha maEx wetu kujua wanaendelea vip na je ukiamua kwend kupasha kiporo inawezekana?.

Na pia ukikubali ataona huna msimamo.

Ushakuwa Mama, shtuka na tumia akili.

Naona pia Mapenz ndio unayaanza anza.

Dah! Mpaka uwe sugu utalia sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

amlee tu mwanae na kummic mwanae sio kukumic ww.
 
Asante sana.(kindly)
 
Hisia za ajabu sjuagi watu wanazitoa wapi[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mkewe anakufahamu? Je, anajua kuwa mna mtoto? Hata angekutumia picha za uchi wake, mwambie huna usichokijua kwake. Wewe mtafutie picha za mwanamume wa huko kuzimu mpelekee mwambie sasaunaye mfariji. Hilo litamtia wazimu aje kukutafuta
 
Pole sanaaaa, unajua kuzaa na Mtu huwa hakumpi mtu sababu ya Kuoa tena hususani wanaume.

Anaweza kuzaa nawee lkn hakuwahi kukupenda naivo upo kwa malengo. Tofaut na nyie wanawake, huwa mnataman kuoana na mtu mlozaa naye mtulie kabisa kabisa.


Jamaa hakupendi, Ila anataka kupasha kiporo..


Ushauri, acha kuharakia mambo, acha kumfunulia mapaja yako, atakuletea magonjwa na maumivu mengine moyon, imagine anakutomba alafu anakimbia tena??

Uko tayar kugeuzwa uwanja wakupunguzia nyege.

Mwambie kua, unampenda sana ila kwa sasa kama kweli anakuhitaji, mkacheki afya na aanze taratibu zakuishi nawewe kama mume namke.

Kinyume nahapo utakua Chronic mchepuko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…