Mimi ni binti wa kitanzania,nina miaka 20,naishi Dar,nmemalza kidato cha nne na kupata div 3,natafuta kazi yoyote ya kujishikiza mpka september ntakapoenda chuo,i speak fluent english,nina ujuz na computer hasa ms word n excel,mi ni mchapakazi sana.

Watu wana PHD hawana sehemu ya kujishikiza eti wewe form four kweli utapata.Ungekuwa umemaliza form six ningekushauri uende shule hizi za kata upige vipindi lakini kwa form four ndugu yangu utazunguka sana angalau ukiwa mtoto wa flani aaaah mbona ungeenda hata wizarani kupanga mafail wakati unasubiria kwenda tution jioni.lakini kama wewe ni mwenzangu na mimi ni ngumu sana
'mi ni mwanaume bwana usione hiyo Mwana ukadhani ni binti laa hasha,kazi hiyo kazi gani mkuu...............na vigezo na masharti vitazinga-tiwa au hamna vigezo na masharti kwenye hiyo kazi mzee,fafanua bwn'
binti ajira za sasa ni zakujuana, kumbuka kuna watu wamemaliza vyuo wenye ujuzi zaidi yako wanasugua benchi, nakushauri tafuta maarifa ya kujiajiri au uendeleze ujuzi wako wa computer ukisubilia september