Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 3, 2013 #1 Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda fahamu ni kiasi gani wanacholipwa waajiriwa wa muda (tempo) katika mamlaka ya mapato tra. Nisaidieni kwa anayefahamu asanteni.
Habari za muda huu ndugu zangu. Napenda fahamu ni kiasi gani wanacholipwa waajiriwa wa muda (tempo) katika mamlaka ya mapato tra. Nisaidieni kwa anayefahamu asanteni.
L lazima ukae JF-Expert Member Joined May 15, 2013 Posts 791 Reaction score 417 Aug 4, 2013 #2 10000 per day
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Aug 4, 2013 #3 Elfu 10? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 4, 2013 Thread starter #4 lazima ukae said: 10000 per day Click to expand... asante ndugu yangu!
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 4, 2013 Thread starter #5 hekimatele said: Elfu 10? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... mbona unashangaa rafiki. hiyo 10,000/= ni kubwa sana au ndogo?
hekimatele said: Elfu 10? Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums Click to expand... mbona unashangaa rafiki. hiyo 10,000/= ni kubwa sana au ndogo?
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 4, 2013 Thread starter #6 lazima ukae said: 10000 per day Click to expand... ina maana ni kama 220,000/= kwa mwezi. wahasibu watakuwa na wao wanaramba hako kafungu ka vijana wa watu. ubinafsi mtupu!
lazima ukae said: 10000 per day Click to expand... ina maana ni kama 220,000/= kwa mwezi. wahasibu watakuwa na wao wanaramba hako kafungu ka vijana wa watu. ubinafsi mtupu!
M Mama chuma Member Joined Sep 29, 2011 Posts 37 Reaction score 7 Aug 4, 2013 #7 Zinapatikanaje manake naona tu
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 4, 2013 Thread starter #8 Mama chuma said: Zinapatikanaje manake naona tu Click to expand... Unapigiwa pande. Kama hauna mtu wa kuku push ni ngumu sana kupata!
Mama chuma said: Zinapatikanaje manake naona tu Click to expand... Unapigiwa pande. Kama hauna mtu wa kuku push ni ngumu sana kupata!
Katitima JF-Expert Member Joined Jun 28, 2013 Posts 631 Reaction score 122 Aug 4, 2013 #9 Sasa hyo c ya kujtnlea kaka? Kwan wangeamua wackulpe kwa sababu unajtolea ungefanya maamuz gan?
Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 886 Reaction score 382 Aug 4, 2013 #10 muulize aliyekupigia pande
Obama wa Bongo JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 5,448 Reaction score 4,980 Aug 5, 2013 #11 lazima ukae said: 10000 per day Click to expand... hawatoi chochote acha kupotosha umma wewe!
Papaa Kinyani JF-Expert Member Joined Feb 25, 2013 Posts 1,459 Reaction score 699 Aug 5, 2013 #12 300000 + 50000 transport
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 6, 2013 Thread starter #13 obama wa bongo said: hawatoi chochote acha kupotosha umma wewe! Click to expand... sasa kama hawatoi chochote kwa nini waseme ni temporary employment? Si wangetangaza tu kuwa ni field...
obama wa bongo said: hawatoi chochote acha kupotosha umma wewe! Click to expand... sasa kama hawatoi chochote kwa nini waseme ni temporary employment? Si wangetangaza tu kuwa ni field...
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 17,306 Reaction score 19,822 Aug 6, 2013 Thread starter #14 ...but i think kuna fungu linatengwa ila ni ulafi tu wa baadhi ya maofisa ndio unaopelekea watu kutolipwa...
...but i think kuna fungu linatengwa ila ni ulafi tu wa baadhi ya maofisa ndio unaopelekea watu kutolipwa...
D diunal JF-Expert Member Joined May 12, 2013 Posts 498 Reaction score 70 Aug 6, 2013 #15 captain M10 said: muulize aliyekupigia pande Click to expand... We noumar!!