Kwani hizo ni pesa za serikali?hizo pesa ni mradi wa WB, ndio maana ukienda hadi buza ndani ndani huko utakutana na maeneo tena sio lami tu, bali ni zege kabisa!!zinazoshughulikiwa na TARURA ni kama hizo za keko, ,na kutoka buguruni chama hadi mchikichini!!!ni vulugu tupu!!huo ulikiwa mradi mahususi kwa sehemu zenye wakazi wa kipato cha chini, nenda huko, kjichi ukaone!!Braza unakaa temeke ipo?? Ktk wilaya ambayo imefaidika kwa miradi mipya ya barabara Basi temeke haiwez kulalamika awamu hii,kqribia barabara zake nyingi zimeguswa kwa kiwngo kikubwa, na Sasa wanaendelea na ujenzi wa mwendo Kasi kilwa road,
Picha huwa kielelezo kizuri na muhimu sana kwemye mambo ya hiviNajua wahusika wa barabara wanapita humu na viongozi tuliowachagua pia wanapita.
Hali ya barabara za Temeke ni mbaya sana kiasi kwamba kinasababisha foleni zisizokua za lazima.
1. Changombe Road, hii barabara ni moja ya barabara muhimu ya jiji, na inapitisha watu wengi wageni na wenyeji, cha kushangaza ni moja ya barabara mbovu inayofukiwa viraka kila mara na kuzidi kuharibika. Solution ni kuijenga upya tena kwa zege, eneo korofi kuliko lote ni kile kipande cha keko, leo tumetumia zaidi ya saa moja kupita kipande kile tuu
2. Mbozi road kipande kibovu kinachukua wiki tatu kukijenga huku barabara imefungwa, kipande hakizidi mita kumi, jiulizeni wale watu wa viwandani watafika vipi katika sehemu zao za kazi.
3. Barabara za mitaani zimegeuka mahandaki na parking za malori
Wahusika wa TEMEKE tubadilike.
Nenda kajionee.....picha zinadanganya sometimesPicha huwa kielelezo kizuri na muhimu sana kwemye mambo ya hivi
Text inadanganya kuliko pichaNenda kajionee.....picha zinadanganya sometimes
Jioni hii nimekuta mitalimbo imeweka kambi pale na tayari washaanza kutekeleza agizo la DCHatimae huu uzi umesikika, mkuu wa wulaya atoa amri barabara ya changombe eneo la Keko itengenezwe haraka sana.
Tunashukuru kiongozi kwa kutusikiliza kilio chetu.