Tembea ujionee usingoje kuambiwa

Kumbe ndio maana nikimwambiaga my lovely one kuwa ana akili za kitoto huwa anachukia sana.
Ona sasa huyu mtoto anavyodanganywa.
 
Huyo dogo naye atakuwa ni wa zama zile. Madogo wa sasa hivi akibebwa namna hiyo lazima amshike mama yake kwenye nyonyo. Na hawezi akabebwa na kutulia namna hiyo wakati anaona yuko horizontal na hakuna movement.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…