Msomali Mweusi
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 100
- 70
Nyosha maelezo kama unahisi kuna sehem Amerekebisha tuambie ila kumkosoa Mheshimiwa humu hakupoForum ya waswahili hii,kiswahili tafadhali.Mh. Rais mwnyw ameendeleza matumizi makubwa ya kiswahili kwny awamu yake.
Kumbe unajua kiswahili.Nyosha maelezo kama unahisi kuna sehem Amerekebisha tuambie ila kumkosoa Mheshimiwa humu hakupo
Mimi mswahili sematu wenye forum ndo hilo sharti la kingereza wameliweka.Kumbe unajua kiswahili.
Kama yapi?Magufuli amefanya mengi tena kwa spidi kubwa ambayo haikutarajiwa
Hapana sijamskiliza kabisa, tufungue machoMagufuli amefanya mengi tena kwa spidi kubwa ambayo haikutarajiwa.
Swali muhimu kwa sasa ni je Magufuli hajatekeleza kipi kinachohusiana na ahadi na ilani ya CCM?
Je ulimsikiliza msemaji wa Serikali jana?
Umaskini utaisha pindi tutakapo fanya bidii na kujituma, tatizo upo hapo kijiweni unakula sigara kali na hutaki kufanya sasa je unataka Raisi akulishe??Rispect _ ndo nini sasa wee kilaza halafu daily mnamsifia magufuli kurudisha nidhamu ya woga makazini na kashindwa kupambana na umaskini unaleta porojo tu hapa
Je Kazi ya Kusaka watumishi-hewa, wanafunzi-hewa? Kafanya Nani?Jambo jipya alilofanya magufuli kwa kweli sijaona maana mengi yalianzia kwa JK!! Zaidi ya kufanya maisha magumu hamna kingine
Hapa tunazungumzia mazuri yake ,kuhusu hayo mabaya hatuyakatai ila anzisha uzi wako ili sisi tunaopenda mazuri yake yusije huko kwa mnaowazia mabaya yakeAna roho mbaya , hapendi watu watu waishi kwa raha , mfano kuwashangaa majaji anaowalipa maburungutu kuwa wanapata wapi hela za kwenda nje na familia, nimemvulia kofia kwa roho yake
Hakuna chanya bila hasiHapa tunazungumzia mazuri yake ,kuhusu hayo mabaya hatuyakatai ila anzisha uzi wako ili sisi tunaopenda mazuri yake yusije huko kwa mnaowazia mabaya yake
Well said1. Katununulia bombadia 3
2 .Katudaia mibilion kule acacia
You are either not serious or you don’t live here in this Republicnothing so far.