Tell us what you think that President Magufuli has done for us so far??

Msomali Mweusi

Senior Member
Jan 20, 2018
100
70
1. In my opinion I think he has brought back Rispect in our country because now money has value and only those who work hard can get it these days.
2. We don’t have traffic jam like before because a single family could drive 4 or 5 cars even if they workes on the same place.
3. Government offices are very much performing and they have shown us that they care.
4. Government Hospitals are better now and caring for the sick ones,
5. All government agencies are performing very well and ok for the civilians.
The list goes on and on if you have more share with us...
 
Forum ya waswahili hii,kiswahili tafadhali.Mh. Rais mwnyw ameendeleza matumizi makubwa ya kiswahili kwny awamu yake.
 
Forum ya waswahili hii,kiswahili tafadhali.Mh. Rais mwnyw ameendeleza matumizi makubwa ya kiswahili kwny awamu yake.
Nyosha maelezo kama unahisi kuna sehem Amerekebisha tuambie ila kumkosoa Mheshimiwa humu hakupo
 
Magufuli amefanya mengi tena kwa spidi kubwa ambayo haikutarajiwa.
Swali muhimu kwa sasa ni je Magufuli hajatekeleza kipi kinachohusiana na ahadi na ilani ya CCM?

Je ulimsikiliza msemaji wa Serikali jana?
 
Hapana sijamskiliza kabisa, tufungue macho
 
Rispect _ ndo nini sasa wee kilaza halafu daily mnamsifia magufuli kurudisha nidhamu ya woga makazini na kashindwa kupambana na umaskini unaleta porojo tu hapa
 
Rispect _ ndo nini sasa wee kilaza halafu daily mnamsifia magufuli kurudisha nidhamu ya woga makazini na kashindwa kupambana na umaskini unaleta porojo tu hapa
Umaskini utaisha pindi tutakapo fanya bidii na kujituma, tatizo upo hapo kijiweni unakula sigara kali na hutaki kufanya sasa je unataka Raisi akulishe??
 
Jambo jipya alilofanya magufuli kwa kweli sijaona maana mengi yalianzia kwa JK!! Zaidi ya kufanya maisha magumu hamna kingine
 
Ana roho mbaya , hapendi watu watu waishi kwa raha , mfano kuwashangaa majaji anaowalipa maburungutu kuwa wanapata wapi hela za kwenda nje na familia, nimemvulia kofia kwa roho yake
 
Ana roho mbaya , hapendi watu watu waishi kwa raha , mfano kuwashangaa majaji anaowalipa maburungutu kuwa wanapata wapi hela za kwenda nje na familia, nimemvulia kofia kwa roho yake
Hapa tunazungumzia mazuri yake ,kuhusu hayo mabaya hatuyakatai ila anzisha uzi wako ili sisi tunaopenda mazuri yake yusije huko kwa mnaowazia mabaya yake
 
Hapa tunazungumzia mazuri yake ,kuhusu hayo mabaya hatuyakatai ila anzisha uzi wako ili sisi tunaopenda mazuri yake yusije huko kwa mnaowazia mabaya yake
Hakuna chanya bila hasi
Kila kulia ina kushoto
Kila nyuma ina mbele
Kama kuna juu kuna chini
Kila kushoto ina kulia
Kila.........
 
Back
Top Bottom