jerry hudson Member Joined Feb 23, 2014 Posts 32 Reaction score 3 Apr 11, 2014 #1 Kumbe telexfree imewaliza watu.. Heh...walikua matapeli Mwenye kulijua hili kwa KINA anijuze hapa.
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,315 Apr 11, 2014 #2 Walilizwa wengi huko Brazil na Marekani ipo under investigation Bongo its just a matter of time.. binafsi ninachojua kuhusu huu utapeli niliandika hapa majuzi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oes-not-make-economic-sense;.html#post9197565
Walilizwa wengi huko Brazil na Marekani ipo under investigation Bongo its just a matter of time.. binafsi ninachojua kuhusu huu utapeli niliandika hapa majuzi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oes-not-make-economic-sense;.html#post9197565
jerry hudson Member Joined Feb 23, 2014 Posts 32 Reaction score 3 Apr 11, 2014 Thread starter #3 KeyserSoze said: Walilizwa wengi huko Brazil na Marekani ipo under investigation Bongo its just a matter of time.. binafsi ninachojua kuhusu huu utapeli niliandika hapa majuzi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oes-not-make-economic-sense;.html#post9197565 Click to expand... Poa mwana nimekupata ntafungua hiyo link nisome fresg
KeyserSoze said: Walilizwa wengi huko Brazil na Marekani ipo under investigation Bongo its just a matter of time.. binafsi ninachojua kuhusu huu utapeli niliandika hapa majuzi https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...oes-not-make-economic-sense;.html#post9197565 Click to expand... Poa mwana nimekupata ntafungua hiyo link nisome fresg
jerry hudson Member Joined Feb 23, 2014 Posts 32 Reaction score 3 Apr 11, 2014 Thread starter #4 https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=... Hapa bongo kwani bado WaPo nilisikia serikali imewapa onyo kuacha mchezo wao
https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=... Hapa bongo kwani bado WaPo nilisikia serikali imewapa onyo kuacha mchezo wao
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 17,572 Reaction score 27,315 Apr 11, 2014 #5 jerry hudson said: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=... Hapa bongo kwani bado WaPo nilisikia serikali imewapa onyo kuacha mchezo wao Click to expand... Nadhani bado wapo sababu bado ninaona ona watu wanahangaika kufanya usajili nadhani Rwanda ndio wameshapigwa Stop.., alafu hio link uliyoweka hio thread yako haipo tena ishafutwa
jerry hudson said: https://www.jamiiforums.com/showthread.php?t=... Hapa bongo kwani bado WaPo nilisikia serikali imewapa onyo kuacha mchezo wao Click to expand... Nadhani bado wapo sababu bado ninaona ona watu wanahangaika kufanya usajili nadhani Rwanda ndio wameshapigwa Stop.., alafu hio link uliyoweka hio thread yako haipo tena ishafutwa
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 93,798 Reaction score 132,017 Apr 11, 2014 #6 mbona sirikali walishasema kuwa kuweni makini nayo.....
KakaKiiza JF-Expert Member Joined Feb 16, 2010 Posts 11,902 Reaction score 9,323 Apr 11, 2014 #7 Rwanda imepigwa marufuku jana!Sisi bado tunaichekea!
Senior Boss JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 3,405 Reaction score 3,701 Apr 12, 2014 #8 jerry hudson said: Kumbe telexfree imewaliza watu.. Heh...walikua matapeli Mwenye kulijua hili kwa KINA anijuze hapa. Click to expand... Fupa Hilo. Nenda kama hujaja mwaga kilio humu JF.
jerry hudson said: Kumbe telexfree imewaliza watu.. Heh...walikua matapeli Mwenye kulijua hili kwa KINA anijuze hapa. Click to expand... Fupa Hilo. Nenda kama hujaja mwaga kilio humu JF.
jerry hudson Member Joined Feb 23, 2014 Posts 32 Reaction score 3 Apr 13, 2014 Thread starter #9 senior boss said: fupa hilo. Nenda kama hujaja mwaga kilio humu jf. Click to expand... mwana mie nilionaga yule joyce kiria wa eatv akihamasisha watu wajiunge
senior boss said: fupa hilo. Nenda kama hujaja mwaga kilio humu jf. Click to expand... mwana mie nilionaga yule joyce kiria wa eatv akihamasisha watu wajiunge
Senior Boss JF-Expert Member Joined Aug 19, 2011 Posts 3,405 Reaction score 3,701 Apr 13, 2014 #10 jerry hudson said: mwana mie nilionaga yule joyce kiria wa eatv akihamasisha watu wajiunge Click to expand... Kwan Joyce Kiria ndio nani ?? We elewa its a scam, naijua telexfree kuliko unavyofikiria. Istoshe hii mada ishajadiliwa sana humu JF.
jerry hudson said: mwana mie nilionaga yule joyce kiria wa eatv akihamasisha watu wajiunge Click to expand... Kwan Joyce Kiria ndio nani ?? We elewa its a scam, naijua telexfree kuliko unavyofikiria. Istoshe hii mada ishajadiliwa sana humu JF.