Kabsa mzeeW5 na H6 ni simu legend toka Tecno sijui kwanini zilikatishwa utengezwaji wake!..
Yani hizo simu hata kucheza game na camera zake zipo poa kama ile h6 it was a fine masterpiece!..Kabsa mzee
Nadhan ndo sim zao nzuri imara
Yeah katika Matecno nilotumia P5,H6 na W5 ni Yalikuwa mawe nilikuwa nasukuma vigame na kuipa hadi basi na ilikuwa inajotahidi ku handle ni nzuri kwa kujishkiza huku ukiendelea kutafuta simu.W5 na H6 ni simu legend toka Tecno sijui kwanini zilikatishwa utengezwaji wake!..