Kabelwa JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 678 Reaction score 196 Dec 7, 2016 #1 Wanajamii naomba kufahamu namna ya kuhamisha app kwenda kwenye SD card ktk tecno w4 nikienda kwenye storage memory inaonekana lazini haioneshi kama kunakilicho ingia
Wanajamii naomba kufahamu namna ya kuhamisha app kwenda kwenye SD card ktk tecno w4 nikienda kwenye storage memory inaonekana lazini haioneshi kama kunakilicho ingia
Son.j JF-Expert Member Joined Jan 10, 2013 Posts 1,030 Reaction score 2,449 Dec 7, 2016 #2 mpaka u root kwanza ndo utaweza kutumia app ku move izo