Nauza Tecno W3 LTE yenye sifa zifuatazo.
Kioo size yake ni inches 5.
Battery 2500mAH inakaa muda mrefu.
Ina uwezo wa 4G LTE.
Internal Memory 8Gb.
R.A.M 1GB.
Kamera ya nyma 8 Mp.
Kamera ya mbele 2 Mp .
Haina mchubuko hata kidogo.
Bei yake Tshs.120,000/=
Kama waitaka text/whatsapp/piga +255767304455 maongezi yapo. Napatikana Dar es salaam.