Tecno spark K9+ inauzwa

Tecno spark K9+ inauzwa

Isma le ibuh

Member
Joined
Oct 4, 2017
Posts
36
Reaction score
12
Habar wana jf
Nauza tecno k9 bei 200k ina hali nzuri ina miez 6 toka inunuliwe haina scratch yoyote ila inatatizo upande wa camera ya nyuma inasumbua ila video calls inafanction na vitu vingine camera ya mbele iko poa ila ukiipeleka tecno wanakutengenezea bure kabisa sema itakaa siku 3 ndio maana mie nilishindwa kuitengeneza kwani sikua na sim ya kutumia
Rom 16GB
Ram 2GB
Nipo dar es salaam
Cont:0767959073 au 0620134042 asanten
 
Picha
images.jpg
498198.jpg
k7ER2Bae.jpg
 
Pia sio tatizo la kuhariba labda nitatizo la cm k9 nyingi zinasumbua camera ni software problem sio hardware
 
Mtu unawezaje kuita kitu cha mtu takataka tuachen kujidharirisha ni takataka sawa lakin ndio uwezo wanguvu ulipo ishia alafu tabia hiz huwa tunazo sana mafukara tusio na kitu ndio tunajikakamua mbele za watu LET ACTION EXPRESS IT SELF
 
Ila binadam bana unauhakika haitengenezek ni bora kamahujui kitu ukauliza ili ujuzwe kuliko kung'ang'ania pointless
 
Mi nadhan kitu kisichotengezwa ni roho lakn hayo sijuwi ma soft ware watu wamechimba sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom