Tecno phantom f7 3g inauzwa

dotnet

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
393
Reaction score
153
Nina TECNO PHANTOM F7 3G naiuza TZS 299,000/= tu. Ni smartphone nzuri yenye Android OS. Ina double line na accessory zote, iko katika hali nzuri.

NB: Nimeitumia kama mwezi na nusu, lakini haina mchubuko, iko vizuri.
Anayehitaji tuwasiliane PM. Nipo Dsm.
 
Kwa nini unaiuza? Imekuudhi nini ili mnunuzi ajipange.
 
Ndugu habari hii ni uhakika naweza muuzia mtu kwa 279,000/=, hakika hataamini kama pesa hiyo inaweza kumpatia simu yenye features na apps nzuri kama hii.
 
Kwa nini unaiuza? Imekuudhi nini ili mnunuzi ajipange.

Haijaniudhi. Ila nimepata simu nyingine so ni duplicate. Haina shida yoyote. Mimi nilinunua 450,000/=.
 
Nikupe 201,000

Rafiki, ongeza 78 nikupe smartphone hii. Android ni ile ile iko kwenye simu za samsung ila samsung inakuwa na specs kidogo zaidi ila muulize yeyote aliye na simu aina hii akuambie.
 
Kwa nini unaiuza? Imekuudhi nini ili mnunuzi ajipange.

Haijaniudhi. Ila nimepata simu nyingine. Hapa hizi message natumia app ya jf bila shida, simu haina tatizo.
 

Bado unayo? Chukua 200k fasta.
 
Niko Moshi kama hujauza nakupa 270000 cash Fanya mpango wa uaminifu. power banking yake charger na headphone na makava yake yote mawili yapo?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…